Hata siamini dar es salaam kuna shida ya madawati!!??

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,235
16,205
Wana ndugu hapa nasikiliza kipindi cha radio one uchunguzi kamili
Hivi kweli dar es salam shule zina matatizo ya madawati kweli
Hata siamini mji mkubwa kama huu shule zinakosa madawati??

Viongozi hii ni aibu jamani kwa dar es salaam

Kama dar es salaam ni hivi je mikoani hali ikoje??
 
Back
Top Bottom