tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Upinzani umepamba moto Tanzania, kiasi kwamba imekua kaa la moto kwa viongoz wa serikali. Wamefikia hatua ya kusema wapinzani wanazuia maendeleo. Sasa kumekua na kila mbinu ya kusambaratisha upinzani kwa kupitia baadhi ya waliokua viongoz wa upinzani ili kufikia malengo yao. Binafs nasema ni ndoto kusambaratisha upinzani.
Kwa sasa wanatumia mbinu mbali mbali kusambaratisha CUF ili wapumue Zanzibar hata kwa kujitoa upofu kwa mbinu ambazo hata mtoto wa darasa la kwanza anazigundua. Tuhuma za watu kupewa pesa kisiri siri zilikuwepo siku nyingi lakn hv sasa wamegawa pesa peupe ili wanaowatumia wawe na nguvu ya kutekeleza maazimio yao. Inatia hasira lakn ipo siku tutajikomboa.
Napenda kuwapa ujumbe huu watawala na wale wote wanadhani ipo siku upinzani utakufa TZ. Nawaambia hata mwenyekiti Mbowe aende ccm au katibu wa Cuf seif arud ccm bado upinzani utakua imara kuliko mnavyodhani. Movement ya upinzani haiwez kurud nyuma kamwe. Hata ccm mgawe pesa kwa kila mtanzania bado wapinzani halisi tutajiuliza mlikua wap kugawa hapo awali tutawapinga tu mpaka tufikie lengo la kuikomboa Tanzania mikononi mwa mkoloni CCM.
Sifikilii ipo siku CCM itakuja kufanya kwa wananchi wake kama ilivyokua Libya enzi za muammar Gaddafi. Watu walijengewa nyumba bila hata kupatwa na maafa, watu walipewa mahitaji yote bila hata maafa. Sembuse nyie mnaosema hamtagawa chakula kwenye njaa . Wala hamjengi nyumba zilizobomoka kwa tetemeko!! Mnalipi la kubakia katika uso wa Tanzania CCM? Gaddafi aliondoka nyie mna nini?? Gaddafi aliondolewa na wananchi wake kwa kukosa Uhuru wa kujieleza tu. Sembuse nyie tunakosa karibu kila kitu??
Hata Tundu Lisu aende ccm sijui Duni haji sijui Mnyika sijui nani nani upinzani haufi kamwe Tanzania. Niliowataja kama mifano najua hamuwez kwenda ccm na wengine hamuwez kununuliwa kirahis ila natuma ujumbe kwa watawala hii vita hakuna kurudi nyuma.
Wapambanaji fungeni mikanda ukombozi uko mlangoni