Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Apr 17, 2012 #1 Mwenzenu bado nafikiria Matokeo ya Uchaguzi wa Arumeru Mashariki, inamaana hii dhana ya HATA MKISHINDA HAMSHINDI aka USHINDI NI LAZIMA ndio imezikwa kabisa au vipi? Yaani kama ni kweli itakuwa ni Jambo Jema sana, Nasikia Faraja sana.
Mwenzenu bado nafikiria Matokeo ya Uchaguzi wa Arumeru Mashariki, inamaana hii dhana ya HATA MKISHINDA HAMSHINDI aka USHINDI NI LAZIMA ndio imezikwa kabisa au vipi? Yaani kama ni kweli itakuwa ni Jambo Jema sana, Nasikia Faraja sana.