Yuko salama ame ZoomSiyo bodaboda tu, hata mpiga picha hii bila shaka alishatangulia mbele za haki. R.I.P mpiga picha.
Kama yuko mwendo hawezi kurudi sehemu ndogo na magari yote yako kwenye mwendo.likiwamo gari dogo na bodaboda.Anaeovateki possibility arirudi site yake angalia picha vizuri bado yupo nyuma hajaliacha basi analotaka kulipita
Mpiga picha alikua ndani ya hedikofta ya askari porishSiyo bodaboda tu, hata mpiga picha hii bila shaka alishatangulia mbele za haki. R.I.P mpiga picha.
Daa huyu bodaboda sijui kaponea engo gani!!!View attachment 794901