Hata mimi nimeshangaa jaman

ni macho yangu au?? naona mna comment cjui kiswahili knasonga.... Mbona mm con k2 wakuu naona wachezaji tuu
 
Dunia nzima ikiongea kiswahili ndipo Jiwe ataanza safari za nje. Matumaini yapo!
 
jaman hiyo ni puma kwa hiyo angalien hizo auto-correction zisije zikafanya uzi ufitwe
 
Ni neno la kiswahili lakini ni msemo wa ki-kenya.... Unamkumbuka pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…