jana tumejaribu kuweka mambo sawa, binti alikuwa analia sana amesema mume amemuumiza roho sana, na hakutegema kama angeona ndoa chungu mapema hivi, lakini anashukuru pia ndoa ilikuwa bado haijajibu coz anataka na yeye kumuumiza kama alivyoniumiza, hata miaka 20 ijayo akija kugundua nitamkumbushia alivyoniumiza na nitamwambia ndio adhabu yake kwa kitendo cha kuniumiza hivi....maamuzi yangu ni kwamba "atalea watoto wa wanaume wenzie"....akija kujua mbeleni bac na mie nitakuwa nimempa maumivu yanayostahili na kuivunja ndoa milele...mie nimechoka kama nyamayao....anarudi kwake leo..

Hilo limdogo lako ambalo pia ni lidogo langu huko upstairs kuko vizuri?jana tumejaribu kuweka mambo sawa, binti alikuwa analia sana amesema mume amemuumiza roho sana, na hakutegema kama angeona ndoa chungu mapema hivi, lakini anashukuru pia ndoa ilikuwa bado haijajibu coz anataka na yeye kumuumiza kama alivyoniumiza, hata miaka 20 ijayo akija kugundua nitamkumbushia alivyoniumiza na nitamwambia ndio adhabu yake kwa kitendo cha kuniumiza hivi....maamuzi yangu ni kwamba "atalea watoto wa wanaume wenzie"....akija kujua mbeleni bac na mie nitakuwa nimempa maumivu yanayostahili na kuivunja ndoa milele...mie nimechoka kama nyamayao....anarudi kwake leo..
jana tumejaribu kuweka mambo sawa, binti alikuwa analia sana amesema mume amemuumiza roho sana, na hakutegema kama angeona ndoa chungu mapema hivi, lakini anashukuru pia ndoa ilikuwa bado haijajibu coz anataka na yeye kumuumiza kama alivyoniumiza, hata miaka 20 ijayo akija kugundua nitamkumbushia alivyoniumiza na nitamwambia ndio adhabu yake kwa kitendo cha kuniumiza hivi....maamuzi yangu ni kwamba "atalea watoto wa wanaume wenzie"....akija kujua mbeleni bac na mie nitakuwa nimempa maumivu yanayostahili na kuivunja ndoa milele...mie nimechoka kama nyamayao....anarudi kwake leo..
Duu naona ngoma imepata mchezaji,ila huyu bibie naona anafanya makosa kama anarudi kwa mmewe kufanya revenge ni vyema aachane tu na hii ndoa . maamuzi yake sio sahahihi hata kidogo.hapo kutakuwa hakuna mapenzi tena.Nyamayo kaa nae na umpe avice nzuri kuhusiana na ndoa pia mwambie akumbuke ukimwi unaua.
jana tumejaribu kuweka mambo sawa, binti alikuwa analia sana amesema mume amemuumiza roho sana, na hakutegema kama angeona ndoa chungu mapema hivi, lakini anashukuru pia ndoa ilikuwa bado haijajibu coz anataka na yeye kumuumiza kama alivyoniumiza, hata miaka 20 ijayo akija kugundua nitamkumbushia alivyoniumiza na nitamwambia ndio adhabu yake kwa kitendo cha kuniumiza hivi....maamuzi yangu ni kwamba "atalea watoto wa wanaume wenzie"....akija kujua mbeleni bac na mie nitakuwa nimempa maumivu yanayostahili na kuivunja ndoa milele...mie nimechoka kama nyamayao....anarudi kwake leo..
Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi).
Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi jmoc ucku, mke kampokea kwa furaha zote kufurahia mume karudi na alim miss pia, mume yupo bathroom mke akawa anafanyia usafi begi na mume alilotoka nalo safari, alikumbana na chupi ya kike(chafu) na vikaratac vya condom kama vi3, mume katoka kuoga mke amumhoji aliyoyaona, mume anaapa miungu yote kwamba hajui kinachoendelea wala hakuwa na mwanamke huko safarini bali mhudumu wa hotel aliyofikia ndio alimpakia nguo kwenye begi "so may be mhudumu ndio kanifanyia haya" kwa makusudi....
My frnd anam-call shemeji yake shemeji anamjibu tena huku akilia machozi kwamba" shemeji hata mie nashangaa kabisa kuona hiki kitendo, nakuapia shemeji cjui kinachoendelea, naomba tu uongee na mke wangu arudi nyumbani...mke anasema harudi kwa mumewe mpaka amwambie ukweli wa aliyayaona.....
Mie kama mie kwa jana nilikosa la kusema....inawezekana hii kitu jamani, kwamba mtu hajui ndio kwanza na yeye "anashangaa".....
Duu naona ngoma imepata mchezaji,ila huyu bibie naona anafanya makosa kama anarudi kwa mmewe kufanya revenge ni vyema aachane tu na hii ndoa . maamuzi yake sio sahihi hata kidogo.hapo kutakuwa hakuna mapenzi tena.Nyamayo kaa nae na umpe advice nzuri kuhusiana na ndoa pia mwambie akumbuke ukimwi unaua.
sasa huyu mbaya wake aliingiaje hotel kufanya yote hayo? au ndio huyu mhudumu alisetiwa afanye hivyo na kama ndivyo kwanini mhudumu ndio apaki nguo? yani amekuwa mzembe mpaka nguo apakiwe na mhudumu?
FL1 dada yangu.... Huku duniani kuna mianawake mijinga huwezi kuamini! Huyu naye hamnazo kabisa! Kwa taarifa yake anaweza akafanya huo upuuzi wake akatimuliwa na kimimba cha miezi tisa. Sijui atarudi kwa hiyo mijanaume mipumbavu isiyotumia akili wala kondom kumega wake za watu? Tusubiri, haitapita muda nyamayao atatuletea msambaratiko wa hii ndoa. Na mwisho wa siku atakayelia ni MWANAMKE!
huyo dogo kachemsha... utaratibu siku zote unasema mzigo wa safari lazma upakiwe na mwenye safari, amekua careless na bahati mbaya sana binti naye anonekana mchanga kwenye mambo ya mahusiano... siku zote ukihisi infidenlity cha kwanza ni kutulia na kumbana mwenza kuliko kupeleka mambo hayo nje, maana mwisho wa siku mkipatana mtashindwa hata kutoka pamoja kwasbabu tayari jamii inajua kwamba jamaa alipiga nje
lakini ndo hivyo tena yeshatokea, cha maana mama arudi, amweke jamaa karibu na wasort kwa mpangilio issues zao tena wakiwa wenyewe sio kuvuvuzela kitaa
the lady must appreciate that si rahisi kwa mwanaume kufungasha condom zilizotumika na chupi za wanawake kurudi nazo nyumbani...
Alivo mjinga anafikiri kuwa na kazi nzuri / kipato kizuri ndio supa gluu ya ndoa! Kama anajiona ana uwezo, nini kinamrudisha kwa mumewe? Si aanze maisha yake na kipato chake, ajibadilishie wanaume na mitarimbo tofauti, manake inaonyesha ndicho anachokipenda?"nina kazi nzuri dada yangu, amenikuta nipo vizuri tu, nimempenda kwa dhati but kwanini anifantie haya? ctajutia uamuzi wangu kabisa coz uwezo wa kuwalea wanangu nitakuwa nao""
Mwanaume hawezi kukubali kama amefanya hilo kosa. huyo dada arudi tu kwa mumewe kwani hiyo ndio ndoa alifikiri ndoa ni raha tu mwanzo mwisho kuna vijimambo kama hivyo na hata hivyo mbona vidogo? ina maana kila siku atakuwa anakimbia basi itakuwa kazi. Na wewe nyamayao c uko kwenye ndoa na unajua vurugu zote za kwenye ndo si umshauri mwenzio arudi tu kwa mumewe akifanya mchezo atakuta kina da sophy washafanya mambo shauri yake mshauri huyo
hilo analikubali, lakini anachotaka kuambiwa ukweli tu, kwamba mume ali cheat na kwa bahati mbaya aliyefanya nae matuc ndio kamuwekea hivyo virago ""hawezi kunidanganya hivi hivi nikiona, akubali ni kweli alibeba mwanamke au alipata huko huko mwanamke wa chap chap tuelewane tuongee yaishe, sio aone anaishi na mjinga wa kumdanganya kijinga kijinga hivi, yeye kaamua kuniona mie taahira kwa kukataa ishu iliyowazi kabisaa, sasa tutakomeshana""
"nina kazi nzuri dada yangu, amenikuta nipo vizuri tu, nimempenda kwa dhati but kwanini anifantie haya? ctajutia uamuzi wangu kabisa coz uwezo wa kuwalea wanangu nitakuwa nao""
Hata mimi namshangaa huyo mwanamke! Namshangaa kwa kweli!
Alivo mjinga anafikiri kuwa na kazi nzuri / kipato kizuri ndio supa gluu ya ndoa! Kama anajiona ana uwezo, nini kinamrudisha kwa mumewe? Si aanze maisha yake na kipato chake, ajibadilishie wanaume na mitarimbo tofauti, manake inaonyesha ndicho anachokipenda?
Mwanamke mwenye busara, utu, staha na heshima yake hawezi kujiapiza upumbavu kama huu.... Eti mumewe atamlelea watoto wa wanaume wengine, kama njia ya kulipiza kisasi! Ptuuuuu! na msonyo kwa juu!
hilo analikubali, lakini anachotaka kuambiwa ukweli tu, kwamba mume ali cheat na kwa bahati mbaya aliyefanya nae matuc ndio kamuwekea hivyo virago""
Nyamayao, katika mazingira kama haya, unaweza kuapa mbele ya miungu ya kwenu na mbele ya Mungu mkuu, kuwa unathibitisha bila shaka yoyote kuwa huyu mume wa mdogo wako alifanya infidelity?