Hata mi sijaelewa

Elezea tuelewe
ni ngumu kidogo kuelewa kama haukuwa eneo la tukio au kumsikiliza jamaa akielezea kwa njia ya video
Ipo hivi huyo mhandisi wa kivuko alijifungia ndani ya hicho kivuko upande wa karibu na injini ambapo kiuhalisia maji hayakuingia, sasa ile siku ya pili ya uokoaji ndio wakasikia sauti mtu anagonga, lakin kulikuwa na upenyo mdogo ambao hakuweza kupita, kwahiyo wakatumia huo upenyo kuwasiliana nae na pia kumpa chai maana alikuwa na njaa ya siku mbili huku wakifanya jitihada za kuvunja na kwenda kumuokoa.
 
Na kuwasiliana nae kwa kuandika karatasi
 
Sasa angeandika kama hivi ulivyoandika wewe angeeleweka tu....unadhan ulichoandika wewe ndicho alichoandika jamaa hapo
 
Sasa angeandika kama hivi ulivyoandika wewe angeeleweka tu....unadhan ulichoandika wewe ndicho alichoandika jamaa hapo
Waandishi wetu wachovu sana, sijui alikuwa anawahi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…