miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Mbona naona kama haupo serious?
Mbona naona kama haupo serious?
Lakini si unajua ukikubali kula vya watu na wewe lazima uliwe kidogo ama sana tu,sidhani kama jamaa anatoa huduma burebure tena mchaga haya ngoja wengine waje
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio utani ujue
Ndo nataka kupiga chini alafu sasa hatuendani kabisaaaa ingawa anatoa mpunga kishenzi!!!!
Umesema una mahusiano ya kawaida...hizo habari za kupenda na kupendwa zinatoka wapi sasa?
Je ukiwa na mahusiano ya kawaida na mwanaume, mali na hela zake zinahusiana vipi na wewe?
Bado naamini hapa kuna porojo tu unataka tubwabwaje...
Sijui nikushauri nini? Ila ngoja-ilikuwaje ukawa naye karibu huku hauna hisia naye?ama ndo hizo pesa?inamana hadi amefikia hatua ya kuweka mambo wazi inamaana wewe ndo UMEMPA HUO MWANYA kwa njia yoyote ile!! Hapo ndo ulipokosea...ngoja napika kwanza nkimalza ntakwambia cha kufanya...
Huyo umpendi, ungempenda wewe ungekuwa wakwanza kumtangaza.
Pia yawezekana kabisa jamaa kwenye mambo fulani siyo fundi.
Mimi nakushauri usimwache, kuwa mwalimu wake, umuambie vitu ambavyo uvipendi yeye afanye vinavyo kuboa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka mangi kakuzimia ila wewe utundu wako ulioufanya umegundua mangi akidhi vigezo fulani.
Swali langu kwako
Vipi upande wa pencel yake ikiingia kwenye kichongeo inafika mwisho na kubana nyanja zote?