MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Nimecheka mno huwa unaweka mpunga nini.Mbona hela ndogo hivyo?
Siku nyingine uwe unaweka dau kubwa ukipiga umepiga kweli.
Ila at your own risk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha nimeshaachaNimecheka mno huwa unaweka mpunga nini.
..angeweka hata buku 5 angekuwa mbali
Mbona hela ndogo hivyo?
Siku nyingine uwe unaweka dau kubwa ukipiga umepiga kweli.
Ila at your own risk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni risk lover [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa muoga kuliko hata mimi.
Kajichukulia apo hela ya vocha[emoji23]
Alafu nishamjua na alishasema yeye anampenda mwanaume mwenye heraaKuna mrembo humu naona unamringishia,
Hongera
Mkuu hiyo avatar yako huyo dogo anazingua sana aisee,Alafu nishamjua na alishasema yeye anampenda mwanaume mwenye heraa
Mkuu hiyo avatar yako huyo dogo anazingua sana aisee,