mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Acha hizo mkuu!Ntakuppoteza
Chibu Perfume![emoji52][emoji52]Uki 'like' jini anakupa nini?
Kama ni kweli basi naamini kuna majini yatakua yana comment pumbasana [emoji48] [emoji48]Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha kuleta vituko vya Gwajima humu..... [emoji2] kwahiyo umekesha?Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali![emoji125] [emoji125] [emoji125]