Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,717
Ni bora waachiwe moja kwa moja tu.. sina maana kwamba hawakutenda ualifu ila status quo ya nchi yetu ambayo kumekuwa na case nyingi za mabilioni ya pesa mamia kwa mamia ambayo yamepotea kifisadi kwa miaka kumi iliyopita na hatujashuhudia chochote halafu tunashadadia hawa wazee wafungwe kwa tuhuma za kulisababishia taifa hasara pungufu ya bilioni 20.
I mean bilioni 20 ni nyingi lakini hakuna uwiano wowote kutokana na matukio ya kifisadi yaliyofanywa bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa.
I mean bilioni 20 ni nyingi lakini hakuna uwiano wowote kutokana na matukio ya kifisadi yaliyofanywa bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa.