Hata hili liliumbwa na Mungu kweli?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
images

Toa maoni yako!
 
Mimi nina nyota ya ngekewa nikikutana na huyo napiga nae story kama kawa mpaka chai tunakunywa meza moja hana madhara hata kidogo( ni dangerous)
 
Yaani mwili umenisisimka kweli!!! Sijawai ona nyoka wa hivyo ata kwenye TV.!
Inasemekana nyoka wenye rangi nzuri nzuri hizi hua na sumu kali sana
Pole sana, ila kuna ujumbe kwenye nyoka huyo ....
 
Mimi nina nyota ya ngekewa nikikutana na huyo napiga nae story kama kawa mpaka chai tunakunywa meza moja hana madhara hata kidogo( ni dangerous)
Kuhusu elimu ya nyota siko powa na wala sijawahi kufuatilia nyota yangu ni ipi. Kikubwa huwa namuomba Mungu kwa mambo yote,
 
Back
Top Bottom