Ni dhahiri kinachofundishwa chuoni, hakiakisi mahitaji ya jamii yetu. Elimu yetu ni muflisi!View attachment 2879915Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisaa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?.
Nchi ya ajabu sana hii...
Bora mie ninaefuga kuku wa kienyeji.View attachment 2879915Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisaa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?.
Nchi ya ajabu sana hii...
Weka hapa suluhisho ili wazalendo wajue namna ya kukabiliana na hiyo inshu si kulalamika tu.View attachment 2879915Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisaa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?.
Nchi ya ajabu sana hii...
Hebu Mkuu uwe unajipatia hata vipointi basi.Kama prototype tu ya hiyo mtu hawezi kuitengeneza unadhani ataweza kuendesha kamtambo ka kuproduce hiyo kitu.
Hata kunya tu mtanzania hanyi inavyopaswa. Sisi ni watu wa ajabu sana.View attachment 2879915Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisaa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?.
Nchi ya ajabu sana hii...
Haya wametoa Africa wakajiongeza wakaleta vitu vizuri zaidi, sasa sie waafrica tumetoa nini kwao au kitu gani kutoka hapa kwetu Africa angalau tumeweza kukidevelop zaidi ya uchawa na uchawi.Hebu Mkuu uwe unajipatia hata vipointi basi.
Hizo prototype si wametoa Africa au?
Kwani wewe kwa maswali yako sio Chawa na Mchawi kweli? auHaya wametoa Africa wakajiongeza wakaleta vitu vizuri zaidi, sasa sie waafrica tumetoa nini kwao au kitu gani kutoka hapa kwetu Africa angalau tumeweza kukidevelop zaidi ya uchawa na uchawi.
Missy Gf Joannah Ms eyes @🤣🤣🤣View attachment 2879915
Kwani hapo VETA, UDSM, UDOM na huko kwingine mnaenda kusoma nn?., maana kama kuendesha nchi mmeshindwa, kila kitu mnaharibu!
Wasomi msiokuwa na msaada wowote kwa nchi yenu, mnashindwa hata kuunda kidubwana local kama hicho mnakimbilia kuunda magari mtayaweza?
Kwa sasa wengine mnakimbilia kwenye ufugaji wa kuku broiler, kweli?. Msomi uliyesoma enginering unaanzaje kufuga kuku broiler eti ndo kazi yako ya kuendesha maisha na umebweteka kabisa.
Wengine mnakimbilia kusoma kozi za ONLINE kutengeneza sabuni za magadi, mtu umesoma miaka 4 halafu chuo halafu unakuja kusoma kozi ya siku moja na inakusaidia maisha, asa mnafuata nn huko chuo?, mnaenda kusoma ili mturingishie mtaani kuwa mlisoma vyuo?
Nchi ya ajabu sana hii...
Chuma sio tatizo,Unatakiwa kwanza uwe na chuma. Ukiwa huna chuma hata sindano utaagiza, ukiwa na chuma utaweza kuzalisha karibu kila kitu. Ni jukumu la serikali kuhakikisha nchi inazalisha chuma cha kutosha na kwa bei rahisi. Kama serikali bado haijaona umuhimu wa kuwa na chuma tutasubiri sana na kuendelea kulaumu wasio husika.
Ana hoja,ila Nina maswali nae😁