unakaa kwenye keyboard
Amekufa , je kwa kufa kwake wewe umekua bilionea? Tuache kua wajinga na wapumbavu ...Mshamaliza autopsy mkazikane? wengine hayatuhusu tuna cause kubwa zaidi ya wafu!
Jitu Zima linafungwa mikocheni na Abdul kwa malipo ya elfu 7 kwa siku ni aibu.* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani na fulani kafa.! Halafu kesho yake wanonekana.
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani anashikiliwa mpakani.! Halafu baadae anaibuka anakanusha.
* Mtu mzima tena hoehahe unakaa kwenye key board siku nzima kushangilia eti, nchi haipati msaada.! Utafikiri wewe unaishi Mbinguni.
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard kushawishi na kupongeza rasilimali zinzokusaidia na kuwasaidia wazazi wako na Ndugu zako zikichomwa na wahuni..! Eti kwakuwa humtaki kiongozi Fulani.
Hata hao wafadhili mnawaowatumikia wanawashangaa bila shaka. Wanajua Wana deal na mazuzu ya aina yake yasiyoona beyond their nose.
Wazalendo ndo wepi hao?Nyumbu pamoja na wakenya wanatumika Ila wazalendo tumeshtuka!
Mkuu kwema, za masiku?Wazalendo ndo wepi hao?
Huu ๐๐uongo ndio kuthibitisha kuwa yu hai?* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani na fulani kafa.! Halafu kesho yake wanonekana.