multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
Watu wa maGAMBA acheni kuweweseka! cdm itawang'a2 mliwanunua cuf na Vyama vingine mlidhani na cdm mtainunua! Mwenyekiti wenu kawaambia mjiandae kisaikolojia kwa serikali 3 yy mwenyewe katumia saikolojia hiyo kuwaambia mjiandae kisaiklolojia kuwa chama chaupinzani!
pole sana ndugu yangu wahenga hawajakosea kusema ni heri ukose mali kuliko akili hivi kwa akili yako kazi ya chama cha siasa ni sawa taasisi za dini ,pili chadema bado haijashika dola hata hiyo unayotaka wafanye hawataweza kwasababu chama cha mafisadi hakitakubali kwani wanaogopa chama kupata umaarufu hivyo watawakwaza kwa namna yoyoteMbona taasisi za dini zinayafanya hayo yote "Mungu kakupa akili na maalifa bule, kuvitumia ni hiari yako mkuu"
Inji hii ni kubwa sana,ukisema wafanye kama waeneza Imani yaani Kanisa,hapo watachemsha mchana kweupe.Kitu cha kwanza ni kuwaelimisha wananchi juu ya serikali yao,kitu ambcho ndio CDM wanafanya,kitu cha pili ni kupata wanachama kitu ambacho pia kinafanyika,kitu cha tatu ni kupewa mamlaka ya kufanya mambo kitu ambacho wanakisubiria kutoka kwa wananchi,kitu cha nne ni kutumia mamlaka waliyopewa kuwaletea wananchi maendeleo,hapo sasa ndio utazungumzia zahanati,shule,maji etc.Ukifanya vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.Maana serikali husika yaweza kutaifisha vitu vyote kama ilivyowahi kufanya kwa Kanisa.mkuu umenisaidia sana kufikisha ujumbe (bila kujua): Je ni kweli kwamba CHADEMA INASUBILI KUSHIKA DORA ndo iwasaidie wananchi?? Je ghalama za kurusha helcopta ni kiasi gani?? Kama mwanachama makini lazima nikikosoe chama.
mbona CHADEMA hawafanyi biashara kama zinavyofanya taasisi za diniMbona taasisi za dini zinayafanya hayo yote "Mungu kakupa akili na maalifa bule, kuvitumia ni hiari yako mkuu"
Inji hii ni kubwa sana,ukisema wafanye kama waeneza Imani yaani Kanisa,hapo watachemsha mchana kweupe. Kitu cha kwanza ni kuwaelimisha wananchi juu ya serikali yao, kitu ambacho ndio CDM wanafanya, kitu cha pili ni kupata wanachama kitu ambacho pia kinafanyika, kitu cha tatu ni kupewa mamlaka ya kufanya mambo kitu ambacho wanakisubiri kutoka kwa wananchi, kitu cha nne ni kutumia mamlaka watakayopewa kuwaletea wananchi maendeleo,hapo sasa ndio utazungumzia zahanati, shule, maji nk. Ukifanya vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.
Utangulizi.
Bado nina kadi ya CHADEMA,
Maada
Naipenda hii nchi kuliko Vyama na siasa zake, Kabla ya mifumo ya vyama Tanzania ilikua na wakazi na waliishi kwa taratibu na misingi yaliyojipangia wakati huo.
CCM wameshindwa kuwawezesha watanzania kupata hata yale mahitaji muhimu (food, cloth, and shalter), ni masikitiko makubwa sana.Wameiba kila kinachoibika na kutuachia MAPANKI. Miaka Hamsini ya utawala wao (huku wakibadili majina ya CHAMA kama ile hoteli maarufu ya jijini DAR "SERENA") Imekua ya machozi jasho na damu.ANYWAY Mungu yupo na sote tunaamini hivyo..
pole sana ndugu yangu wahenga hawajakosea kusema ni heri ukose mali kuliko akili hivi kwa akili yako kazi ya chama cha siasa ni sawa taasisi za dini ,pili chadema bado haijashika dola hata hiyo unayotaka wafanye hawataweza kwasababu chama cha mafisadi hakitakubali kwani wanaogopa chama kupata umaarufu hivyo watawakwaza kwa namna yoyote
Ukitaka kujua gharama ya elimu, jaribu ujinga...Tanzania inaogelea kwenye ujinga na kuikomboa kwahitaji gharama. SONGOKA uliwahi kusikia usemi wa the fool and his money are soon parted? Chadema kwa sasa inachofanya ni kutoa elimu na kama ungekuwa na akili kidogo tu ungeishang'amua kuwa hiyo elimu wanayotoa hadi sasa imeonesha mafanikio makubwa. Hiyo unayoita ghalama za kurusha helcopta (sic) si lolote si chochote ukiilinganisha na mali ya elimu wanayoitoa kwa jamii...hiyo ndio kazi ya chama cha siasa cha upinzani. Chadema inawaamsha wananchi wajue rasilimali za taifa hili zinavyotafunwa na walafi badala ya kutumika kuwaendeleza na hapa wewe SONGOKA ni mmoja katika watu wanaohitaji kweli kweli kuelimishwa na Chadema.mkuu umenisaidia sana kufikisha ujumbe (bila kujua): Je ni kweli kwamba CHADEMA INASUBILI KUSHIKA DORA ndo iwasaidie wananchi?? Je ni kiasi gani?? Kama mwanachama makini lazima nikikosoe chama.
mwambie kwanza ajiridhishe na mnara wa mwangosi wamejitokeza kupe from no where.pole sana ndugu yangu wahenga hawajakosea kusema ni heri ukose mali kuliko akili hivi kwa akili yako kazi ya chama cha siasa ni sawa taasisi za dini ,pili chadema bado haijashika dola hata hiyo unayotaka wafanye hawataweza kwasababu chama cha mafisadi hakitakubali kwani wanaogopa chama kupata umaarufu hivyo watawakwaza kwa namna yoyote
tupeni pesa tupeni mradi tuusimamie halafu baadae mtuulize.kutuuliza wakati hatuna pesa ni kutuonea.kampeni tunazofanya ni kukikuza chama ili kudumisha ukomavu.na ni kumdhihirishia akili ndogo fulani kwamba chama chetu sio cha msimu.na mkitaka kujua tuna hoja andaeni mdahalo wa live.cdm vyemanachosikitika watu wanaojiita wa CDM wanapokuja na matusi..hawana hoja .hawajibu hoja.huku ni kudhalilisha chama kabisa. kuna watu mi nadhan hata akil hawakupewa kabisa. kuna -------- mwingne anadhan yeye ana uchungu na chadema kuliko hata nchi yenyewe. haya mambo ya kusema tukichukua nch tutafanya hiv na vile ni uongo. hebu tuoneshane mifano.CCM wameshindwa nan anaweza kwa vitendo? au ndo ya kutoa afadhar kuingiza potelea mbal? mumjib kwa hoja na si vioja na matusi. mueleweshen kama hajaelewa. why mchukulie kama chadema ni Chama kamilifu hakina mawaa? watu wa CDM hamtak kabisa changamoto mnataka mdumishe tu fikra za mwenyekit na katibu? huu ni upumbavu.leten hoja hapa leten mifano. wanakuja kujib watu wa hovyo hovyo wanajifanya CDM na kudhalilisha chama.
tupeni pesa tupeni mradi tuusimamie halafu baadae mtuulize.kutuuliza wakati hatuna pesa ni kutuonea.kampeni tunazofanya ni kukikuza chama ili kudumisha ukomavu.na ni kumdhihirishia akili ndogo fulani kwamba chama chetu sio cha msimu.na mkitaka kujua tuna hoja andaeni mdahalo wa live.cdm vyema