Wauzaji wa Container Tz JF-Expert Member Joined Apr 5, 2020 Posts 2,231 Reaction score 4,097 Tuesday at 12:23 PM #21 Khanji kapoor said: Ndio unajua Leo ni moja ya akount wanazotumia hao wauaji kufanya propaganda angalia kipindi Cha maguful na Sasa Kipindi Cha maguful ilikuwa km kigogo Ila saiv wanaenjoy wanatuzuga kidogo Click to expand... Sahihi
Khanji kapoor said: Ndio unajua Leo ni moja ya akount wanazotumia hao wauaji kufanya propaganda angalia kipindi Cha maguful na Sasa Kipindi Cha maguful ilikuwa km kigogo Ila saiv wanaenjoy wanatuzuga kidogo Click to expand... Sahihi
C CWR2016 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 2,798 Reaction score 6,442 Friday at 10:10 PM Thread starter #22 Emanueli misalaba said: Ni kweli kabisa, Britanicca, Tumia akili ni kundi hilo hilo la wanamtandao, Evalist Chahali, Baadhi ya manabii, FAM, nk no, naunga mkono hoja Click to expand... Nashukuru sana kwa kuitaja list na kuongezea wengine. Wana staili flani, wanaweza kupingana jambo flani , kumbe wako team moja.
Emanueli misalaba said: Ni kweli kabisa, Britanicca, Tumia akili ni kundi hilo hilo la wanamtandao, Evalist Chahali, Baadhi ya manabii, FAM, nk no, naunga mkono hoja Click to expand... Nashukuru sana kwa kuitaja list na kuongezea wengine. Wana staili flani, wanaweza kupingana jambo flani , kumbe wako team moja.
C CWR2016 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 2,798 Reaction score 6,442 Friday at 10:12 PM Thread starter #23 Rungwe88 said: Unaweza kuelezea kidogo faida ya hizo taarifa zako nusu nusu kwa watanzania wanaoteseka na utawala huu wa kishetani Toka CCM? Click to expand... Alisema leo Lissu anaachiliwa huru kwa uhakika. Na akasema Lema ni mtu safi.
Rungwe88 said: Unaweza kuelezea kidogo faida ya hizo taarifa zako nusu nusu kwa watanzania wanaoteseka na utawala huu wa kishetani Toka CCM? Click to expand... Alisema leo Lissu anaachiliwa huru kwa uhakika. Na akasema Lema ni mtu safi.
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 5,495 Reaction score 10,583 Friday at 10:13 PM #24 Bra bra braa hueleweki
Rungwe88 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 421 Reaction score 837 Friday at 10:50 PM #26 CWR2016 said: Alisema leo Lissu anaachiliwa huru kwa uhakika. Na akasema Lema ni mtu safi. Click to expand... Huyo ni mtu anaecheza na psychology ya watanzania walio wengi wanaopenda habari za kusadikika au umbeya tu. Na ni kama mtu anaetoa matumaini feki ili watu wapunguze juhudi za kupambana. Binafsi namuona snitch tu
CWR2016 said: Alisema leo Lissu anaachiliwa huru kwa uhakika. Na akasema Lema ni mtu safi. Click to expand... Huyo ni mtu anaecheza na psychology ya watanzania walio wengi wanaopenda habari za kusadikika au umbeya tu. Na ni kama mtu anaetoa matumaini feki ili watu wapunguze juhudi za kupambana. Binafsi namuona snitch tu