Hassan Kikoti

Sio dawa badala yake Pombe anachochea viini vya rushwa tu maana hii njaa haikubaliki ukionyeshwa noti
 
nataka matokeo ya kikao cha timu ya yanga kimejili nini huko mtujuze mliopo huko


Matokeo ya kikao cha YANGA!!??? Timu itakodishwa, na washangiliaji nao watakodishwa, na magoli nayo kwa ligi za ndani yatanunuliwa....mkileta fyoko fyoko tutahakikisha mnafungwa 5x2=10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…