You said it all. For the country like the US and the rest of the western power, it is surprising that lessons from discrimination haven't learned. The protesters are not stupid. They are tired being judged by colour of their skin (racial profiling). Haiwezekani. Wengine wamekaa kimya kwa sababu wale ni Marekani. Hebu tufikirie wale Wazungu wa Zimbabwe na Mugabe. The black Americans have faced discrimination for generations now. Hawa ndio wapo chini kabisa kwenye food chain. Jamani tuzungumzeUntil the philosophy which holds one human race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned....everywhere is war. Haya mambo ya rascim yanafundishwa.....mtoto akizaliwa haelewi lolote kuhusu ubaguzi wa rangi. Inakuaje sasa haya yanatokea?
Rascim haiishii kwenye rangi tu.....institution rascim ndio mbaya zaidi.....rangi fulani inapata advantage kuliko wengine. Tena jamii yote itaamini ndivyo ilovyo tu watu wasilalamike hamna namna wataweza badilisha. Hii inaitwa blame the victim.....hata tuwakandamize vipi inatakiwa tuendelee kuwakandamiza. Noma sana brother.....devide and rule ndio silaha kuwa inayotumiwa na oppressors. Pia dhihaka...ili kupunguza morale na kupotosha ukweli. Hapa nasahuri watu wajenge phylosophy ku-guide life yao. Jiunize.....ukiacha material wealth and blah blah unataka ufanyie nini life yako?
Ulipokuwa mtoto ulikuwa very interested na maisha leo nini kimetokea? Aisee inatakiwa uwe mmoja ya mashujaa kwenye familia yako, community yako, school, kazini or wherever upo. When you die watu hawatakukumbuka eti....fulani alikuwa womanizer kinoma, watakukumbuka Davis/Hussein alikuwa great father, great teacher, great philanthropist, great businessman/woman.
Aisee hizo picha zinamana zaidi ya elfu mia kwangu, let me end...yapo mambo mob yakushea na hii jamii yetu ya Tz. Stay alive
Hili ni tatizo la kufikiri kimasikini kama ulivyosema sisi ni masikini. Kama wanaweza kubaguliwa Marekani, ndani ya globalisation sisi hatuhusiki. Fikiria utumwa, trade agreements, sports na mengine mengi. Eti linawahusu wao. Hawajaa interest zao zikiguswa hata mashariki ya mbali wanakwenda sie bado tunatazama hapa. Yaani haki za binadamu zinaishia kwenye mipaka.Tuna tatizo kubwa zaidi la umasikini Tanzania, tunaweza kulijadili hili kila siku bila kuchoka hadi tupate suluhusho. Tuwaamini weusi walioko Marekani kuwa wana uwezo wa kumaliza matatizo yao wenyewe kama wao walivyoweza kutuamini kuwa tunaweza kukabiliana na umasikini wetu wenyewe
Hili ni tatizo la kufikiri kimasikini kama ulivyosema sisi ni masikini. Kama wanaweza kubaguliwa Marekani, ndani ya globalisation sisi hatuhusiki. Fikiria utumwa, trade agreements, sports na mengine mengi. Eti linawahusu wao. Hawajaa interest zao zikiguswa hata mashariki ya mbali wanakwenda sie bado tunatazama hapa. Yaani haki za binadamu zinaishia kwenye mipaka.

It's very sad to see someone of the colour excluding himself from the bigger picture. When we began fighting for apartheid, we knew discrimination has got no colour. All the achievements we are seeing today is the result of the fighting at the big stage. Martin Luther never fought for his only African Americans.Yes, human rights is a global issue and so is poverty. The thing is, how do you prioritise - racism in the developed world or poverty at home.
Poverty is real, while blacks killings by law enforcement is just a symptom of racism. Lets not get carried away by globalisation while the bitter truth is kila mtu kufa kivyake