Hasira hasara

myroom320

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
40
Reaction score
16


Kwavyovyote, tunajua kabisa mwanamke au mwanaume hataweza kutegemea mwenzake ambaye ana hasira kwa wakati ule aweze kufanya mapenzi yenye hisia kubwa na kuridhisha.

Ndipo hapo tunapoona kwamba mawasiliano yanahitajika na yanashika nafasi kubwa sana kwa wapendanao. Ni vizuri sana kuongea na kusuluhisha tofauti zenu kila itokeapo kuliko kuendelea kununiana na kuchukiana,

Kwa vyovyote mwanaume husitegemee mwanamke ambaye amefura kwa hasira, kufanya mapenzi yenye mvuto na msisimko (passionate love) ambapo kwa mwanaume yoyote rijali hatapendezwa na tabia hiyo inayomdharaurisha.

Na ndipo kutakapoanza na vita baridi kati yenu na kulipiza visasi, na vita hiyo itapelekea chuki kubwa. Na baadhi ya wanaume watatumia huo upenyo kama an excuse kutafuta mwanamke mwingine nje.Inapofikia hapo unajua nini kinafuatia.
 
Kuna wengine kuwashusha hasira mpaka uwatie ndio dawa,kila mwanamke na jinsi alivyoumbwa.
 
Akiwa Na Hasira Muombe Mechi Mkaze Vizuri.Hasira Kwishinei.
 
Akiwa na hasira unaenda kwa mchepuko unarudi saa kumi na moja alfajil utakuta hasira zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…