Hashim Rungwe ndani ya dakika 45 ITV sasa.

Hashim Rungwe ndani ya dakika 45 ITV sasa.

Huyu mzee ana akili mpya kabisa,hizo mvi zinamuonea,sio profesa kama lipumba, akili yake iko live,anafanya events chache lakini zinawaacha watu wakitafakari,
 
'Uhuru wa kujieleza ulianzia tulipolia pale tulipozaliwa'
Rungwe
Sasa Bashite na Baba yake wametunyima huu uhuru wetu tulioupata tangu kuzaliwa.

Sisemi kitu, nasubiri tu Chato International Airport ikamilike nianzishe biashara ya ndizi, ambapo usafirishaji ni wa muda mfupi kwa kutumia Pangaboi aina Boeing.
 
Back
Top Bottom