Hashim Rungwe ndani ya dakika 45 ITV sasa.

Hashim Rungwe ndani ya dakika 45 ITV sasa.

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Aliyekuwa mgombea wa uraisi wa JMT kupitia CHAUMA ndugu Hashim Rungwe yupo katika kipindi cha dakika 45 ITV kwa mara ya kwanza. Sijui atanadi tens zile sera zake? Tumsikilize mzee wetu wa vituko.
 
Aisee hiki kichwa cha ujiji mwisho Wa reli kiko njema kichwani, sema tu basi uzee umemnyemelea mapema. Ila kilikuwa na madini adimu sana.

Hongera sana kutokea kuwa muuza magari na vyuma chakavu mgomeni na kinondoni mpaka mwanasheria nguli wa mahakama.kuu ya JMT na mgombea ukulu Wa kaya Wa TZ.

Na ukapiga kampeni za one man show...haijalishi kuna wasikilizaji Wa mkutano wako au la...we uligonga tu kopi.
 
Aisee hiki kichwa cha ujiji mwisho Wa reli kikao njema kichwani, sema tu basi uzee umemnyemelea mapema. Ila kilikuwa na madini adimu sana. Hongera sana kutokea kuwa muuza magari na vyuma chakavu mpaka.mwanasheria nguli na mgombea ukulu Wa kaya.
Duh!! ama kweli maisha ni mwendo wa duara
 
Aliyekuwa mgombea wa uraisi wa JMT kupitia CHAUMA ndugu Hashim Rungwe yupo katika kipindi cha dakika 45 ITV kwa mara ya kwanza. Sijui atanadi tens zile sera zake? Tumsikilize mzee wetu wa vituko.
Hatakua na jipya kwani ushiriki wake hauna Athari
 
Aliyekuwa mgombea wa uraisi wa JMT kupitia CHAUMA ndugu Hashim Rungwe yupo katika kipindi cha dakika 45 ITV kwa mara ya kwanza. Sijui atanadi tens zile sera zake? Tumsikilize mzee wetu wa vituko.
NIMECHEKA SANA HUYU MZEE, HUYU HASHIMU RUNGWE NADHANI KICHWANI MWAKE HAYUKO SAWA, MAANA ANASEMA KWAMBA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAAZI PALE MAGOMENI AMBAKO JPM ALIENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI HAJAONA HATA TOFALI MOJA HATA MSINGI HAJAONA LICHA KUFIKA PALE AKAZUNGUKA ZUNGUKA HAJAONA.
 
He sounds so presidential.... Damn I like the dude
 
Namsikiliza tuu hapa nangoja aanze kugawa ubuyu hahaaa
 
Back
Top Bottom