Hasheem Thabeet's Journey In The NBA


Kweli. Waliokuwa wanachonga kuhusu Hasheem wanasahau kuwa hizohizo statistics ndio zilimpaisha kwa kiasi kikubwa kwenye college basketball na kuwa #2 pick. Naona leo dogo amepewa dakika 26 na ushee, kapiga vikapu 7 (sawa na Gasol) kwenye ushindi against Celtics. Haddadi kaekwa benchi leo.
 

Nimeangalia game amejitahidi sana kwa kweli ila anahitaji mazoezi kuwa more athletic maana naona harudi nyuma anatembea wakati wenzie wanakimbia na hafungui vyumba aweze kupewa mipira. Natumai kocha atampa technic zaidi ajitahidi but he has done a good job jana against celtics.
 

kijana kweli alijitahidi sana.....ila bado anaonekana mvivu wa kujituma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…