Congrats to Hashim. He is making Tanzania proud. He is showing them that even as Tanzanians can do it. As long as he stays humble I'm sure he will be a big success and he will go a long way(no pun intended).
Hii lugha ya malkia aisee ni shida..nimejikuta npo page ya 15 Bila hata kusoma thread. But na mm nichangie kdogo hii mada as following:-
Ni kwer ZAHERA kafukuzwa lakin naona sio sahihi kabsa kwasababu alikuwa kama MO wetu hapa jangwani. Sasa sjui huyo kocha mpya hashim thabeete Kam ataweza kutupatia pesa kama mutu ya Kongo papaa wa Kusinya...
ujio wa hashim thabeete hapa YANGA sjui kama utaleta manufaa kwasababu CV yake inaonesha hana mafanikio sana hasa kwenye hyo timu yake sjui NBA kama mleta maada alivyosema Hapo JUU OLU IN OLU WELICUMU HASHIM THABEETE INI DARESALAMU YANGI AFRIKANI SIPOTI KILABU