Chipukizi Hasheem Thabeetmchezaji kikapu wa Tanzania baada ya kusajiliwa na timu ya NBA ya Memphis Grizzlies anatarajiwa kulipwa USD 14,379.840 sawa na Tshs 19,125,187,200.
Wakuu kumbe kikapu kinalipa zaidi kuliko TFF zetu.kwa nini tanzania huu mchezo usipewe kipaumbele zaidi na hata serikali kuinterven kwa kuoboresha zaidi.?
Umaipata wapi hii??? tupe source plz
Chipukizi Hasheem Thabeetmchezaji kikapu wa Tanzania baada ya kusajiliwa na timu ya NBA ya Memphis Grizzlies anatarajiwa kulipwa USD 14,379.840 sawa na Tshs 19,125,187,200.
Wakuu kumbe kikapu kinalipa zaidi kuliko TFF zetu.kwa nini tanzania huu mchezo usipewe kipaumbele zaidi na hata serikali kuinterven kwa kuoboresha zaidi.?
Chipukizi Hasheem Thabeet mcheza kikapu wa Tanzania atakayechezea timu ya Memphis Grizzlies katika msimu ujao wa ligi kuu ya kikapu nchini Marekani NBA anatarajiwa kulipwa dola za kimarekani milioni 14,379,840 (shilingi bilioni 19,125,187,200) kwa mwaka.
Dau hilo linamfanya nyota huyo wa NBA kuingiza kiasi cha shilingi bilioni 1,593,765,600 kwa mwezi na kuzidi kwa mbali kabisa kiungo wa Simba na Taifa Stars, Henry Joseph aliyesajiliwa nchini Norway klabu ya Kongsvinger atayepokea dola 200,000 (Sh 260 milioni) kwa mwaka.
Bwaha ha ha ha ha mkuu magazeti ya bongo utafikiri yanaandikwa na wahariri wa MilembeChaku, usiamini haraka kila unachokikuta kwenye mtandao.
CNBC.com wana article moja tu inayomtaja Hasheem Thabeet ukitumia search.
Halafu mwandishi mwenyewe (wa Mwananchi) hajui kuandika.