yaani wewe kijamaa ni hater mkubwa......hasheem hasomi humu labda FMES a print akampelekee......
Hasheem Thabeet gets caught in his girlfriend's sunglasses
By Eamonn Brennan, Yahoo! Sports
Naona kesha pona masikitiko Jumatatu akaenda angalia fainali baada ya kutoa toa machozi Jumamosi walipokung'utwa out of the final four na Michigan State.
Labda angerudi chuoni Jumatatu badala ya kwenda ku pose for the cameras wakati mmeshapigwa kipondo cha kutia aibu on the biggest game in your collegiate career. Una pose na miwani ya demu, uchune kwanza babu fanya kweli kwenye court, ukichemsha kwenye court hutakaa sana na mademu kwenye court side. Vuta subira.
Bling bling na Umarekani-Ghetto mwiiiiingi wakati hata Watangazaji hawaishi kila dakika kuikumbusha dunia kwamba huyu mtu ndugu watazamaji ni Mbongo kutoka Sinza. To them, you will never be an American, never, ever. Hata Shoziniga sio Mmarekani kamili ndio maana hawezi kugombea Urais. You will never be an American, never. Majuzi Patric Ewing kaenda Springfield, MA kuwa indicted into the Hall of Fame lakini the theme ya kuzawadiwa kwake na maisha yake ilikuwa ni U-Jamaica wake na safari yake, akalia lia pale jinsi anavyokumbuka aliposhuka off the Mayflower into the concrete Jungle. Ukikata kama mvua kumi hivi kiwanja utaanza kunielewa.
Word to the wise, malizia degree yako ya Saikoloji kama mhamiaji mwenzio Tim Duncan alivyofanya. Rudi chuoni Jumatatu baada ya kipondo, acha kubaki out of town una pati pati na vi gold digger ambavyo naturally huwa vinadharau Waafrika anyway. Na hao nao, ukishawafahamu vizuri utanielewa.

Duh Kamanda! Acha roho ya korosho! Yaani umejiunga JF kumkandia mbongo mwenzako! Sasa kama wamefungwa unataka ahuzunike hadi lini? Life goes on, mwache kijana ajirushe! In the end its just a stupid game! Dunia iko mikononi mwake! Kuenjoy na Demu wake ndo ishakua Ugheto??
Hayo mambo ya Degree au NBA ni maamuzi binafsi akienda NBA atakamata millioni kadhaa Guaranteed, na atabadilisha maisha ya familia yake forever, anaweza akarudi kumalizia degree akapata career ending injury halafu mtakuja kumwamwita zoba humu!
Kama anataka kumaliza degree, nayo ni sawa ni maamuzi tu, DUNIA IKO MIKONONI MWAKE!!!
Sio roho ya korosho, Thabeet sio mshindani wangu, na mimi nina career path nyingine kabisa, nashindana na wengine kabisa, nilikuwa nacheza boli shuleni at some point ikabidi nichague boli au masomo/career path nyingine, sikufatalia mpira tena na sisikitiki, maana ningefata mpira labda ningekuwa nime losti saa hizi. Kwa hiyo Thabeet, mafanikio au failures za Thabeet hazinigusi kibinafsi vyovyote vile. Hivi ukiwa na kikorosho na watu huwajui, watu maarufu, utachukia wangapi duniani humu?
Ni kwamba kijana aache Umarekani-Ghetto wa bling bling za masikini akipata matakp hulia mbwata. Tena labda angesubiri kwanza apate. Na hata akipata asipokaza msuli kwenye court badala ya ku pozi pozi nje ya court, hizo milioni mbili tatu za mwanzo zinaweza kukauka. Yule Msudan, Manute Bol, nae si alianza na mamilioni? Baadae akawa omba omba mpaka juzi juzi ndio NBA pension imeanza ku kick in.
Thabeet ailibidi arudi chuoni Jumatatu baada ya kipondo badala ya kuja ku pose mbele ya camera na vi-miwani vya kidemu na bling bling kama American ghetto lifer wakati ni Mbongo wa Sinza. Hata kina A.J. Price hawakuja kuuza sura na mademu kwenye fainali. Wamefungwa, wamesikitika, wametimua, chuoni. Huyu anachekesha.
Sasa sioni tatizo kama ameamua kuzigawa hela zake kuwasaidia wasudan wenzake, hayo ni maamuzi tu. Na contract za sasa hivi hauwezi kufananisha na za wakati ule!Bol established the Ring True Foundation in order to continue fundraising for Sudanese refugees. He has given most of his fortune (an estimated $3.5 million) to their cause.
Word to the wise, malizia degree yako ya Saikoloji kama mhamiaji mwenzio Tim Duncan alivyofanya. Rudi chuoni Jumatatu baada ya kipondo, acha kubaki out of town una pati pati na vi gold digger ambavyo naturally huwa vinadharau Waafrika anyway. Na hao nao, ukishawafahamu vizuri utanielewa.
KUHANI,
Acha vichekesho, yaani nimecheka sana, ilikuwa rahisi mno kukugundua kuwa ni wewe!! Hamna mpya zaidi ya kutukumbusha chuki na ujuaji ulokujaa kwenye kifua chako....
Hooovyo mno!
...sioni tatizo kama ameamua kuzigawa hela zake kuwasaidia wasudan wenzake, hayo ni maamuzi tu. Na contract za sasa hivi hauwezi kufananisha na za wakati ule!
Yeye kaenda kucheki gemu na demu wake, yuko famous ndo maana camera lazima zimwonyeshe! hakuna cha showoff hapo! Na hao wanaoendelea kununa baada ya kufungwa ndo washamba kinoma, life is too short to worry about a stupid basketball game! You have to move on! Plus hicho kipigo gani cha point 9?? mambo ya kawaida tu hayo.
Earings sio Ughetto jamani watanzania tuache judgment za pupapupa, na hiyo kutest miwani ya Demu ni ule utundu kwenye mapenzi, sio mnakua too serious mnanuniana tu full time!!
Msupport kijana! Acha hizo!
Baada ya kunyukwa kikatili na Michigan State, alitakiwa arudi shuleni on the next transit outta town, sio kuruka madarasa ku pati pati na ku pose for the cameras na miwani ya mademu.
Kum sapoti sio kumuimbia "Anameremeta" kila wakati. Wapo wengi, mpo, mtakao play hiyo role.
Ni kweli contract za sasa si sawa na za wakati ule lakini kwa enzi zile Msudani alikuwa tajiri nonetheless. Alimiliki majumba na biashara Washington DC, Cairo, na Khartoum. Akaja filisika, mpaka aka petition NBA wamruhusu aanze kupata ka pension kake ka $24,000 kabla ya muda wa ku kick in. Sijui alifika wapi na ombi hilo, lakini atakuwa ameshaanza kuipata legally by now. $24,000.
Thabeet angesubiri kwanza apate hiyo mikataba kabla ya kuanza ku pati pati na kina Latisha baada ya kuchemsha on the biggest game of his collegiate career.
Wamarekani wana katabia/kamsemo "I hate to lose." Kwao wao kuchukia kushindwa ni alama ya mshindani, na ndio maana wanapenda kujiliza liza wakishindwa. Thabit nae alijitahidi kuvuta chozi likaja kama Wamarekani, lakini kumbe kesha sahau. Naona alijitahidi ku put up an act, maana nimecheza sana mpira na nimeangalia Simba na Yanga toka utotoni sijaona Mbongo analia. Kalia, kasahau. Tena usisema "a stupid basketball game." Michezo ni serious business Marekani, tena kwa mwenzio hii ni kazi yake. Anafukuzia ma dili saa hizi, hawezi kusema " a stupid basketball game." That was his biggest game ever and they blew it, haijaishia pale, itakwenda kwenye record zake. Ajitahidi acheze mpira, sio kuleta Umarekani-Ghetto kabla.
Baada ya kunyukwa kikatili na Michigan State, alitakiwa arudi shuleni on the next transit outta town, sio kuruka madarasa ku pati pati na ku pose for the cameras na miwani ya mademu. Ni camera ndio zinafata mtu, mtu hafati camera, lakini wajanja media savvy hawajileti leti ku pozi sehemu ambazo hawakutakiwa kuwepo.
Kipondo cha pointi 9 usiseme ni kidogo, walizidiwa, walichoka mbaya, mpaka wakaanza kupigana pigana, tena anajipiganisha na no-names ambao hawana cha kupoteza in terms of character reputation as NBA prospects.

- Sizitaki mbichi hizi
mkuu hizo ni point tupu.......- Huyu haandiki kwenye michuzi, yeye anaweka vitu vyake uwanjani na vinakubalika sana na wananchi wa Dunia ya kwanza, wanaotuzidi kwa miaka 300 ya maendeleo, hawabishani kama wamo au hawamo, simply ni wamo, tujifunze kutenganisha ishus, badala ya kuchanganya yaani unaweza mlinganisha huyu na wengine wa huko michuzi?
- Hivi mkuu unajua huko kwenye kambi zao za mazoezi maisha yalivyo tough, kila kukicha kubeba vyuma tu kama manamba wa njia ya reli ya Mombasa, sasa mashindano yameisha asijifue japo kidogo? Kwani amepelekwa huko na hela za serikali kwamba tunamdai? Wacheni Dogo ale kuku kwa mrija, kazi na dawa, yaani mtu uko unywamwezini tena ukaanze kusota na hawa mademu wa kibongo tena? Umezaliwa nao, umekua nao hao hao tu, eboh! sasa kula wanyamwezi tu, wewe mtumzima Spitzer ameshushwa chini unafanya mchezo na hao madenish, tumeona mtumzima Clinton akiadhirika unafikiri hao mademu ni mchezo, ala! lazima kujaribu kila aina hao mademu wa Dunia ya kwanza sio mchezo eti tena nasikia ni balaa sana hao wana mpaka za kula Ice cream.
Whatever Dogo wants ni uamuzi wake hana sababu ya kusubiri kamati kuu imuamulie, huyu ni big star yaani Tanzania hatujawahi kupata mtu babu kubwa kama huyu, mbongo wa mwisho kutokea jina lake kwenye New York Post, na New York Times alikuwa Jumaa Ikangaa na zile Marathon, since then haijawahi kutokea, huyu Dogo ni mbongo wa kwanza kufanyiwa documentary katika CNN, sasa kuweni na heshima japo kidogo mnapomuongelea, maana huyu sio Chenge na Rostam mliowazoea.
Dogo akiingia huko NBA wajanja wote tumeula, hata akicheza one season tu inatosha tubanane huko, shule wamesoma wabongo wangapi na wametusaidia nini bongo mpaka iwe kilio cha Degree ya saikologia ya Dogo! Mwacheni Dogo ale kuku na tunsubiria aamue uamuzi mzito tuone what is there for everbody, atakayekosa pole sana ila wote hatuwezi kuapata ni fact of life.
Respect.
FMES!
Hakuna aliyerusha ngumi, angekuwa ejected.Mkuu jamaa alirusha ngumi?
I wish Thabeet goes to NYC and not to some village in the midwest. After all he grew up in DSM, he would better be saved if he resides in the DSM of the USA. Good lucky to Hasheem.