Mkuu Chige wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu sana humu JF. Na sidhani kama wenye heshima hiyo mnazidi watano..Frank Matrisciano ni NBA Trainer kwahiyo ka-train wengi tu lakini ame-specialize kwenye physique ambalo ndo tatizo kuwa la Hasheem. We Google tu Hell's Trainer na utapata habari zake! WHY Hell? Wengi wanazikimbia training zake soon baada ya kuanza!!!
Basi hapa sasa I salute.. Ila tuombe aendelee kukaza asubiri dirisha ndogo.. Timu tayari zimeshatangaza roster zao kwa sasa..Ndo maana nikakurahisishia Keyword ya ku-search habari zake. Anyway, nimeona nisitoe kichwani manake huenda ungedai source vile vile na badala yake, pitia hizi articles:
The Trainers Behind the NBA’s Most-Improved Players
View attachment 423926
Hiyo ni habari ya 2014.
Again piti hii hapa kutoka Fox Sports:
Timberwolves trio went through weeks of hell with Navy SEAL trainer!
View attachment 423929
Una maoni gani hivi sasa?
Mkuu nilishangaa jamaa anawaita 7 feet sio giants..Jamaa hata hapitii stats, akiona mtu kajaa kwenye TV basi anamwona tall, hao kina Undertaker na Big Show kwa Hasheem wanasuburi.
Proved mkuu mimi wikipedia ilinidanganya
poa mkuu naona wikipedia ilinidaganya
Yah, matumaini ni kwenye dirisha dogo; kwa sasa ndo basi tena manake hivi sasa tunahesabu masaa!!! Ile workout iliyofanywa na LA Lakers, Wizards na Knicks inaweza kuwavutia wengi zaidi na hivyo kupata fursa ya kuonesha kwamba Hasheem wa sasa sio yule wa zamani!Basi hapa sasa I salute.. Ila tuombe aendelee kukaza asubiri dirisha ndogo.. Timu tayari zimeshatangaza roster zao kwa sasa..
Kwa hiyo banker wangu chige huyu dogo anarudi NBA?Maana kwa kweli mimi mtiririko wa usajili na namna ligi hiyo inavyoendeshwa mimi ni "ignorant" sanaYah, matumaini ni kwenye dirisha dogo; kwa sasa ndo basi tena manake hivi sasa tunahesabu masaa!!! Ile workout iliyofanywa na LA Lakers, Wizards na Knicks inaweza kuwavutia wengi zaidi na hivyo kupata fursa ya kuonesha kwamba Hasheem wa sasa sio yule wa zamani!
Ndo maana nikakurahisishia Keyword ya ku-search habari zake. Anyway, nimeona nisitoe kichwani manake huenda ungedai source vile vile na badala yake, pitia hizi articles:
The Trainers Behind the NBA’s Most-Improved Players
View attachment 423926
Hiyo ni habari ya 2014.
Again piti hii hapa kutoka Fox Sports:
Timberwolves trio went through weeks of hell with Navy SEAL trainer!
View attachment 423929
Una maoni gani hivi sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo akirudi NBA anarudi bongo kuwalamba mitama kina TID
Haijakudanganya... uliangalia past NBA Players! Wapo ambao Hasheem akisimama ni cha mtoto; mtu kama Gheorghe Mureșan; Hasheem anasubiri! Kuna Mchina fulani hivi, nimesahau jina lake... hadi leo sijapata jibu yule ni Mchina wa aina gani... manake alienda hewani na ameshiba vile vile! Huyu hajaacha basket zamani lakini kwa sasa sio active.Proved mkuu mimi wikipedia ilinidanganya
Haaa haaa eti ngongoti!?!!Umenichoma sana Witness! Unajua sehemu ambazo hata Waamerika wenyewe wanashoboka nazo ni pamoja na NBA & Hollywood! Ni sehemu ngumu kuingia; bora uambiwe ujifunze kuvuka kwa kuogelea toka Kunduchi hadi Posta utafanikiwa kuliko kuchukua option ya kuingia NBA au Hollywood! So, mtu ukipata fursa sehemu hizi mbili, ni life opportunity ambayo hutakiwi kuichezea hata punje.
Lakini unajua nini? Ilikuwa lazima aje awachape bakora bhana... si mlikuwa mnamuita ngongoti nyinyi!!! Mi mwenyewe nilimuona Hasheem kwa mara ya kwanza usiku kwenye duka la nguo, alikuwa kwenye entrance na kulikuwa na mwanga hafifu! Sa kv nilikuwa na haraka zangu, siku-pay attention; nikadhani ni ile midoli! Sasa ghafla, aka-move... e bhana eh! Moyo ukafanya paaa! Mdoli unatembea....
Teh teh hujaongezea na miaka ya uongo maana waafrica kwa kudanganya umri hawajamboatasingizia alikua mdogo eti.
Team ushuzi?Watakusikia wenye madam wao; shauri yako... mi simo!!
Haijakudanganya... uliangalia past NBA Players! Wapo ambao Hasheem akisimama ni cha mtoto; mtu kama Gheorghe Mureșan; Hasheem anasubiri! Kuna Mchina fulani hivi, nimesahau jina lake... hadi leo sijapata jibu yule ni Mchina wa aina gani... manake alienda hewani na ameshiba vile vile! Huyu hajaacha basket zamani lakini kwa sasa sio active.
Pamoja na training ya Frank Matrisciano for body fitness lakini pia alikuwa anapata game training toka kwa Milt Newton ambae ni ex-NBA Professional!Ila mkuu kuna tofauti ya hao na Hasheem, hao wengine walienda kwa ajili ya kushape-up lakini tayari walikuwa ni proven players.
Hasheem anashape-up na anafanya extra ball game training, hapa nadhani pana tofauti, mimi personally namwombea ila nidhamu inahitajika sana, nimeona jamaa wanajaribu kufananisha situation ya Hasan Whiteside wa Heats na hii ya Hasheem, ila tofauti nayo iona ni kwamba baada ya Hassan kuchemsha NBA alienda ligi za nje, ila Hasheem kwenye maelezo yake anasema hayuko tayari kwenda kucheza nje ya NBA.
Hii ego inaweza ku-cost career yake, kwa sababu nadhani hii misimu mitatu aliyoipoteza alitakiwa awe nje anakipiga huko.
Pamoja na training ya Frank Matrisciano for body fitness lakini pia alikuwa anapata game training toka kwa Milt Newton ambae ni ex-NBA Professional!
Ndo maana mkuu big gift nilimuuliza ushawahi muona ngongoti live?Mkuu urefu wa Hasheem huwezi kusema eti ni wa kawaida, huko huko NBA Hasheem kuna msimu aliwahi kuwa ndo the tallest, check mpaka sasa hakuna active player anayemzidi Hasheem isipokuwa kuna watatu wana 7.3 kama yeye.
Huyo Michael Jordan ndo haoni ndani kabisa kwa dogo Hasheem.
Imebaki siku moja tu uanzeMsimu mpya unaanza lini?
Sure! Ni ya Yao Ming... jamaa kaenda hewani bhana, duh! Tena unlike Gheorghe Mureșan, Yao kashiba vile vile...! Na ukimuona kwa sasa ndo unapata picha halisi ya giants ni watu wa aina gani!Ni Yao Ming, Hall of Famer class of 2016.
Mwaka huu wameingia yeye, Shaq na Allen Iverson.
Jamaa alikuwa mrefu si mchezo.