LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
Hasheem anaonekana kama ameridhika na ndoto zake zimetimia..kashapata mia mbili anajua hata akiacha kikapu ataishi kwa dili nyingine
hamna huo ndo umri wake hasheem kihalali maana form kamalizs 2005km sikosei
Hivi huwa najiulizaga sana inakuwaje waTANZANIA tunafurahia maanguko ya watu wengine...hasa wenzetu waliotupiga gape la kimaisha..hii inakuwaje jamani.....???
Mtu hafanyi utafiti anategemea taarifa alizopewa na mtu afu hizo hizo anakubishia nazo mpaka kifo, yaani sisi wabongo sijui tukoje? Watu wanasikia kiasi cha hela in millions of dollars wanaona ni nyingi lakini sivyo. Kama sikosei jamaa alisign rookie contract ya miaka minne na alipata decent money kwa sababu ya his hight draft pick status. Lakini kama unavyosema ukitoa kodi, sijui agent fees,mara child support, pengine kusupport ndugu zake, kumbuka maisha ambayo alikuwa anaishi usikute hayakuwa ya kawaida huo mshahara wake sio mkubwa ki hivyo. Kina Antonio Walker walilipwa jumla ya $150 million dollars over the period of his career lakini leo hii he is bankrupt. Kupata hela amepata lakini kama hakujipanga imekula kwake maana wapo waliopata mara mia zaidi yake lakini pia bado wamefulia. Afu kama alirogwa akazaa na hao binamu zetu ndo basi tena, maana hapo ni child support kwa kwenda mbele for the next 18 years. I hope he signed a prenupt maana kama kuna kudivorce hapo ndo kabisaaaa. Ila Mungu amuepushie na ajipange upya. atafute timu China kama akikosa NBA bado anaweza kupata hela nzuri tu na akarudisha heshima yake kidogo kama Stephon Marbury
Mkuu jamaa growth curve yake iliwahi kufika pick mapema alipokua Connecticut....Halafu alidanganya umri,alikua man among boys ndio maana alionekana yupo ahead ya wenzake alipokua NCCA...
Alikua drafted entirely coz of "Potential" na sio alikua anayaweza kivile alipokua college....msela anafanya zoezi kinoma na ni Gym Rat ila tatizo hana talent kabisa.....Offense game yake ni sifuri kabisa,na watu walitegemea basi a-excel kwenye defense nako huko ndio haja-perfect kabisa.
Alianza kuyaharibu yaani from day go kwenye Summer League ya rookie season yao 2009...
Anatetewa kua alichelewa kuanza kucheza kikapu akiwa na 15years....hiyo ni excuse tu kwani Serge Ibaka wa OKC nae alichelewa hivo hivo,let alone legend Hakeem Olajuwon ndio alichelewa kabisa...
Waliochaguliwa after him kama James Harden and Steph Curry ni legit mega superstars
Mkuu, si umeona enhee? Mimi huku Bongo ni mpenzi sana wa basketball na ni mfuatiliaji wa wachezaji wangu niwapendao kama kina Kobe, Iverson, Shaq, Zo (Alonzo Mourning), na wengine japo wengi waokwa sasa wamestaafu. Niliposikia kuna mtanzania anakwenda NBA kwa kweli sikuwa na uhakika ni nani then nikaja kusearch ndipo nikakuta ni Hahseem when he was at Uconn. Nilipenda clips zake Yuotube na zile block za kutisha mpaka Uconn ikatisha because of him. Alipokwenda NBA nilifurahi sana kwani nilijuwa Tanzania tumepata mtu in NBA. Jamaa akawa a bust kwa timu yake ya kwanza na akawa traded to The Rockets, kule pia akawa useless akapelekwa developmental league. Akarusishwa kwa muda mfupi then Rockets got rid of him kulikomfanya aende Thunder. Kule he never had any impact at all. Yote haya yapo kwenye maandiko through tovuti za hizo timu, yet watanzania watasema haterz wameanza tena. Yaani tumeweka ukweli kuwa uadui na chuki, why?
...hapo kwenye red ndio kinachouma zaidi..class ya 09 imetoa wachezaji wazuri sana so far...
- Blake Griffin(all star)
- James Harden(all star)
- Tyreke Evans(NBA Rookie of the Year (2010)
- Ricky Rubio(NBA All-Rookie First Team (2012)
- Stephen Curry(all star)
- DeMar DeRozan(all star)
- Brandon Jennings(pistons)
- Jrue Holiday(all star)
- Ty Lawson(Denver-starter)
- Danny Green (nba champ with Spurs)
- Patty Mills (nba champ with Spurs)
- Patrick Beverley(Rockets-Westbrook knows him well)
Mhhh sasa anakwenda wapi hebu wataalamu wa huo mchezo tuelezeni na kwanini ameshindwa?kwanini kiwango chake kishuke?hebu tuelezwe mtanzania mwenzetu nini kimemsibu.
Unajua mkuu ukipewa "nafasi" halafu ukawa let down watu,tegemea backlash...
Wote hapo juu ni probably future hall of famers.
Funny thing is,alizidi kuweka matter worse alipoingia na hype ya kujiita 'The Dream",alikua ana-copy legacy ya Hakeem Olajuwon....at the meantime anajijua hana nyenzo za kufikia hata fraction of what the legend had archived...
It is a sin kujifananisha na 2xNBA Champion,2xNBA MVP,12x All Star Hakeem Olajuwon...and he did all these when the almight Michael Jordan was around making people ringless,ask Charles Barkeley......
Post Up game ya Hakeem au ile dream shake move this youngin will dream about....yanini kujitengenezea hype ya kibwege hivi?Sasa watu tukiongea wanasema "haters",n**ga do not compare yourself with NBA gods,earn it.
To be honest huu ndio mwisho wa jamaa ingawaje wengi wetu tulikuwa nyuma yake tukimtakia mafanikio zaidi...
It is a sin kujifananisha na 2xNBA Champion,2xNBA MVP,12x All Star Hakeem Olajuwon...and he did all these when the almight Michael Jordan was around making people ringless,ask Charles Barkeley......
...sasa wangekuwa wanawasikiliza skip bayless na steph a. smith wa ESPN FIRST TAKE..wasingekuita hater hata kidogo...yaani wanamweka HASHIM KWENYE LEVEL MOJA NA kWAME bROWN pamoja Greg Oden(Walau huyu majeruhi yameua kiwango)
....jordan made alot of hall of famers ringless...asingekuwepo...all these would probably have one to bragg..
kipindi cha NBA OPEN COURT na kile cha TNT NBA analysis-kenny smiths always makes funny of charles barkley ringless status...
- Sir Charles Barkley
- Patrick Ewing
- Karl Malone
- John Stockton
- Reggie Miller
ESPN PLAYER PLAYER RANKINGS MWAKA JANA WALIMRANK N0.347,mwaka huu ameshuka hadi no.461.stats zimeshuka mno...Hahahaaaa....umenikumbusha Skip Bayless...
Mkuu Hasheem kwa hao wawili haingii hata kidogo.
1.Kwame Brown: ppg:6.6,rpg:5.5
2.Greg Oden : ppg:2.9,rpg:2.3
Ndugu yetu sasa: Hasheem: ppg:1.2,rpg:1.7
My sister at home can post up those numbers easly any day of the week!
| 461
| Hasheem Thabeet Philadelphia 76ers C | 2013 rank: #347 @HasheemTheDream | 1.86 |
ESPN PLAYER PLAYER RANKINGS MWAKA JANA WALIMRANK N0.347,mwaka huu ameshuka hadi no.461.stats zimeshuka mno...
461 Hasheem Thabeet
Philadelphia 76ers
C | 2013 rank: #347
@HasheemTheDream1.86
its a sad news kwa wapenda maendeleo ,hata hivyo amepeperusha bendera yetu vizuri..
....he was a turnover generation machine