Kwa mujibu wa vyanzo tofauti vya habari ni kuwa nyota wa kikapu ndani ya NBA mTanzania ametemwa na timu yake mpya Detroit Pistons kutoka jimboni Michigan aliyojiunga nayo siku kadhaa zilizopita.
dah pole yake sijui kakanyaga mdudu gani...!!&
yale yale ya diomond hawa wote si wamepita kwa jokate kale kademu nina wasiwasi nako kana gundu

Kwa kweli NBA ni ligi ngumu sana na kwa kiwango chake ni wazi kuwa muda wake ulikuwa unaelekea kuishi. Mimi nampa pole tu ila asikate tamaa bado anaweza kujaribu ligi hata za Ulaya ingawa kipato chake kitashuka pia.
du mkuu umenishitua mapema maana nilitaka kuingiza timu...yale yale ya diomond hawa wote si wamepita kwa jokate kale kademu nina wasiwasi nako kana gundu
shauri yako ukienda utazomewadu mkuu umenishitua mapema maana nilitaka kuingiza timu...