Hasara za ndoa!

Faida kubwa ya ndoa ni malezi yenye maadili, bora na utimamu wa afya ya akili na kisaikolojia kwa watoto. Ila kama sihitaji mtoto kwa sasa hakuna umuhimu wa ndoa. Mabinti wengi kwa sasa ni matapeli na ombaomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…