has JF ever been CYBER ATTACKED since its establishment??

Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,459
3,366
nimekua najiuliza mengi kuhusu huu mtandao wetu wa kijamii..maana huu mtandao una maadui wengi kuanzia serikali hata pia baadhi ya watu binafsi wenye pesa zao chafu katika nchi hii..swali ni kua je katika uhai wa JF imeshawahi kua cyber attacked??kwa wale wasiojua cyber attack ni mfumo wa kimawasiliano pepe ambao hutuma malicious/influx requests/traffic to a server and make it busy at the same time watu wanakua wana hack.so far nachojua ni kua cyber attack can happen by very powerfull computers ambazo labda zinazomilikiwa na governments kubwa duniani like N.Korea,S.korea,USA and the like.mnielimishe wana bodi wanaojua hii technolojia.
 
so unataka kutuma virus? by the way mm kama jaji wa JF wa kujitolea tuna Cybercrime Act
pia ISP wetu wako makini filtering contents zinazotumwa JF hakuna cha kutuogopesha.
 
nimekua najiuliza mengi kuhusu huu mtandao wetu wa kijamii..maana huu mtandao una maadui wengi kuanzia serikali hata pia baadhi ya watu binafsi wenye pesa zao chafu katika nchi hii..swali ni kua je katika uhai wa JF imeshawahi kua cyber attacked??kwa wale wasiojua cyber attack ni mfumo wa kimawasiliano pepe ambao hutuma malicious/influx requests/traffic to a server and make it busy at the same time watu wanakua wana hack.so far nachojua ni kua cyber attack can happen by very powerfull computers ambazo labda zinazomilikiwa na governments kubwa duniani like N.Korea,S.korea,USA and the like.mnielimishe wana bodi wanaojua hii technolojia.

hivi wahindi hao wanakupa nini wewe? kaa tumia taaluma yako kwenye mambo ya maana acha kuwa kibaraka...unauliza hilo swali ili iweje?kamuulize aliyekutuma kwa nini anashindwa kui attach JF...
 
mkuu kwenye red hapo,mbona unajibu kwa jazba sana??wahindi wanahusika nini katika hili??mi na wewe tunajua JF ina maadui wengi so sio ishu mi kuuliza kwa wale wanaojua hii tech...mi katika pitapita zangu kwenye google nikakutana na hayo makitu sasa wewe unatoka povu wakati mi nataka kujua hiki ni nini hasa??
 
jambo forums unaijua?

.
url

Mwambie hajui kuwa Anonymous wengine ni memba wa JF?

url

Wajaribu tu alafu waone shughuli yake!

.
 
I guess no! reasons might be gazillion. may be JF Have strong men or enemies are weak or .......
 
mkuu kwenye red hapo,mbona unajibu kwa jazba sana??wahindi wanahusika nini katika hili??mi na wewe tunajua JF ina maadui wengi so sio ishu mi kuuliza kwa wale wanaojua hii tech...mi katika pitapita zangu kwenye google nikakutana na hayo makitu sasa wewe unatoka povu wakati mi nataka kujua hiki ni nini hasa??

We hata uki label kwa blue habari ndo hiyo..kwa kifupi umechelewa..mtakufa na njaa zenu kisa mnanunuliwa na wahindi mabwege nyie..au mnadhani siri mnachofanya..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom