Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,456
- 19,476
By the way ukitaka uone Episode 03 Zima taa na angalia gizani unless otherwise utaona reflection yako, The Long Night was Sooo Dark utafikiri wanatumia Camera za Kwenye Tecno.... !!!!!
Hii show kwenye vitabu ilisifika kwa Plot lines zenye logic yaani vitu vinafanyika kulingana na logic.., yaani kama the Night King Greenseer, anayeweza kuona future na ana Dragon pia anaweza kufufua wafu, kwanini asingepeleka watu kumi wakiua watu kumi anafufua na kuua, anafufua na kuua ?..., Pili kama anamtaka Bran kwanini asingekuja ghafla peke yake akaleta storm na kuwafanya wasione na kumuua kwa moto ?
Tukiongelea Moto kwanini wasingewasha moto pote ili waone na sio Dothraki kukimbia gizani kama vichaa....
Nadhani Directors kwa kazi nzuri waliofanya nyuma huenda wameharibu na kutotendea haki hii Great Man Made Fictitious Story