Harusini

Sura zao zinaonyesha haikua idea yao, wamelazimishwa
 



Hizi ndizo ndoa za kiukweli na zinadumu si hizi za kidotikom....maigizo tu kisa mtu kaona Beyonce kafunga ndoa basi watataka kulazimisha kuuza unga na kupiga dili za kijinga ili tu kufurahisha mwanamke apate kuonekana kwa wenzake kuwa kaachana na ukahaba sasa kapata mtu wa kweli.
 
Walioleta hiyo idea walikosea sana. Wangeweka ndizi mbivu au kiazi kikuu, vitu asilia kabisa. Huo mkate atapanuaje huo mdomo silesi iingie yote jamani? Menya ndizi, mvunjie mwenzio kidogo, ilobaki naye akuvunjie. Mmelishana keki. Pasua kiazi kikuu vipande vidogo vidogo, milishane na baki walishe wahusika wengine. Sio kulishana masukari na magadi soda
 

hata boga ingependeza pia we unasemaje?
 

hahahaha jamaa umefunguka aisee. ila kuna ukweli hapa
 
hata boga ingependeza pia we unasemaje?

Th Name;
Mbona powa sana tu mkuu. Watu siku hizi sio creative tu wanapenda ku-copy na ku-paste tu vya kidhungu kumbe kwtu vimejaa vitu natural
 
Th Name;
Mbona powa sana tu mkuu. Watu siku hizi sio creative tu wanapenda ku-copy na ku-paste tu vya kidhungu kumbe kwtu vimejaa vitu natural

hata mrisho mpoto alifanya kitamaduni zaidi
 

Teh,mtakuwa mmelishana ndizi na kiazi kikuu bana sio keki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…