Haikuhusu.Tuzo ya heshima waliyoitoa kwa Marehemu Mafisango katika Simba Day leo na kupokelewa na Kaburu, tunaomba itakapokwenda kukabidhiwa kwa familia ya Marehemu(kama itakabidhiwa) ikakabidhiwe na rambirambi zake.
Haikuhusu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hawana timu hao.
Subirini mashindano ya ligi yaanze ndo mtajua tuna timu au hatuna.
Halafu kuna wachezaji wanne wa kikosi cha kwanza hawakucheza ile mechi ambao ni Kapombe(15), Okwi(25), Twite(4) na Musa Mude(5); kwenye mabano ni namba ya jezi watakazovaa msimu ujao.Kitu kimoja ambacho Simba wameanza kukifanya na kinanifurahisha ni kuanza kuwapa nafasi wachezaji wa akiba ambao hapo nyuma walikuwa hawapati nafasi kabisaa ya kucheza,nafikiri kupoteza wachezaji wazuri kama Makipa Dida na Barthez kumewapa funzo tosha siku hizi hata kipa wa akiba anapata nafasi ya kucheza katika mechi isiyo na umuhimu sana tofauti na hapo zamani ambapo kila mechi ilikuwa Kaseja,iwe ya ligi,iwe ya kirafiki dhidi ya team ngumu,iwe ya kirafiki dhidi ya Kombania ya shule za secondary zote Kaseja golini,Kaseja-Kaseja,kila mechi Kaseja ilikuwa ni kuua vipaji vya Vijana.
Halafu na hao akina Hamad Waziri wanapopata nafasi ya kucheza wawe wanakaza vinginevyo wataishia kuwa wachezaji wa kudumu kwenye yale mabenchi ya Uwanjani.
Hawana timu hao.
Halafu kuna wachezaji wanne wa kikosi cha kwanza hawakucheza ile mechi ambao ni Kapombe(15), Okwi(25), Twite(4) na Musa Mude(5); kwenye mabano ni namba ya jezi watakazovaa msimu ujao.
Kizungumkuti cha Twite kinatoka wapi? Au kwa sababu mtoto wa mheshimiwa analeta umaarufu wa baba yake kuwatisha viongozi wa Shirikisho la Soka la Rwanda anadhani baba yake anainfluence hadi Rwanda, mwambieni aimarishe cha kwake bila kuharibu cha mwenzake, mbona PSPF wamejenga ghorofa zuri tu pale Ohio bila kuvunja la PPF na la kwao sasa linaonekana zuri kuliko la PPF, wachezaji wako wengi tu hakuna haja ya kumfuata mchezaji ambaye anataarifa kwamba timu nyingine imemsainisha na yeye anaenda kwa kutumia umaarufu wa mzee wake, mnaweza tumia wachezaji wengine na timu yenu ikatisha kuliko yetu bila hata kuchukua mchezaji mmoja toka kwetu.Yah ni kweli,lkn ninavyoona mimi Kocha alikuwa na sababu ya kutowachezesha,Kapombe yeye ameachwa asaidie kuwabeba ile Under 20 yenu kwenye michuano ya ABC,wakati Okwi aliachwa apumzike baada ya misafari yake,Twite bado kizungumkuti na Mussa Mudde bado yuko Uganda anatibu majeruhi yake aliyoyapata kwenye Kagame.
kwani ulikuwa unafikiri ni simba wa porini kweli? ni kapaka tu tena kadogo sana hafu mbaya zaidi kana njaa kupitiliza!!