Inavyoonyesha haina tatizo maana Mchungaji au Shehe analiona tumbo kubwa na bado anafungisha ndoa,inakubalika kwani nimewahi kuhudhuria harusi ya mfanyakazi mwenzangu mwanamke na mlokole akiwa mjamzito wa miezi kama 6 hivi.
kwanini mwizi akiwa anaiba kisha akatubu na akitaka kununua alichokua anaiba mwanzo hairuhusiwi? tena huyo MTU kafanya vizuri ili kosa lisiendelee kutendeka
1. Maandiko yanakataza. 2. Maoni yangu; mwenye kuoa mjamzito ni mwaminifu kwa mwenza wake na pia ana hakika ya kuoa binti asiye na tamaa vinginevyo angetumia kinga au kutoa mimba kama wafanyavyo wasichana wengi.