we umefika dsm leo!?, naiman hukutazama magari ya taka yanayopita barabarani yakiwa na kila aina ya uchafu kuanzia utumbo wa dagaa mpaka jasho la kuku wanaochinjwa kisutu, usitumie pua pekee kama crisetomis gambianus, tumia na macho piaHapa Ukonga Banana kuna harufu mbaya sana kama mzoga. Naomba wakazi wa eneo hilo wamuone afisa afya achukue hatua za haraka kuokoa maisha ya watu.