HARRIER NEW MODEL INAUZWA

HARRIER NEW MODEL INAUZWA

Watu hamjui magari mmezoea vitz, hiyo gari ushuru pekee ni 38m+, cif c chini ya Dola 28 elf, sasa kama hamjui ni heri muulize. Au nunueni za saizi yenu
 
Kwa Harrier, iyo bei ni ndogo sana...! Kama hujui sasa ivi makampuni ya kutengeneza magari yanajitahidi kupunguza ukubwa wa engine.

Siku hizi wateja wanaangalia ukubwa wa engine, ili kusave fuel...!
Vp kuhusu nguvu? kwann Magari bora hawafanyi hv?
 
Munawar amebadilisha ID
We muhindi sijui mmanga unashida saana
Bei hiyo Vogue lipo wapi
Mkuu ni wewe au mwingine, nakuona kama unayajuajua magari nashangaa ukishangaa harrier ya 2014 kwa 90M!! The price is spot on! Usilinganishe na Vogue, ziko class tofauti....hii ni daraja la eVogue, gari ambayo unaweza kuendesha kila siku around mjini kwa mafuta ya kawaida, Hizo zingine za safari.
 
Kutoa 94M kwa SUV ya 2WD ni upuuzi

Usiseme upuuzi kaka, kuna anae nunua lamborghini bei ambayo ni sawa ama zaidi (kulingana na dealer na nchi inaponunuliwa Lamborghini) na landcruiser 2014/15
 
Watu hamjui magari mmezoea vitz, hiyo gari ushuru pekee ni 38m+, cif c chini ya Dola 28 elf, sasa kama hamjui ni heri muulize. Au nunueni za saizi yenu
Watu wamezoea passo anashangaa harrier ya ml94, hahaaaa......
 
Huu mchuma unafaa kung'olea michuchu ya ushuani kabisaa,ngoja nichonge na rugemalila animalizie deni nalomdai nikutafute mkuu
 
Mwambie aitembelee kidogo tena ili milage ziongezeke ishuke bei zaidi maana hapo duh! Sisi ni dunia ya tatu au umesahau wewe muuzaji?
 
Hahah, duh itakua alidhani hivyo labda!
 
Watu hamjui magari mmezoea vitz, hiyo gari ushuru pekee ni 38m+, cif c chini ya Dola 28 elf, sasa kama hamjui ni heri muulize. Au nunueni za saizi yenu

Ahsante sana ndugu saju kwa kuwaelewesha!
 
94m too much itembelee tembelee kidogo bei ishukue japo najua siku hiz kuna technology ya kushusha mpk kilomita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom