Asante brother kwa offer , ila I prefer cash na pia raum sy chaguo langu.iko vizuri, nikupe Raum na kukuongezea bei gani
Hakuna gari rahisi au ngumu kuuza mkuu....kila kitu ili uuze au kununua inategemea na hitaji la. Hicho kitu kwa muda husika. Ila thanks bro kwa offer yako, I real appreciate!Hizi gari ngumu kuziuza... Ukiwa tayari kwa 20M nitafute.
Kwanza kabisa sikimbii sabb ya mafuta, nimeendesha gari kama hy yenye cc2400 zaidi ya miaka 5, isipokua nina sababu nyingine tofauti. Embu nichek PM tuone kama tunaweza fanya kituNaomba nikupe IST pamoja na 10m. Haijatumika Sana Najua unaikimbia sababu ya Mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako wa 20 kapigwa chini.Kula 18 ndugu
Wife wako nafikiri kaishindwa hii gari anataka gari ya kike na ndogo.Kwanza kabisa sikimbii sabb ya mafuta, nimeendesha gari kama hy yenye cc2400 zaidi ya miaka 5, isipokua nina sababu nyingine tofauti. Embu nichek PM tuone kama tunaweza fanya kitu
Sent using Jamii Forums mobile app