linanyonya damu?Jini maimuna! lol
Hahahah, Caroline Danzi unamaanisha nini apo?
linakunywa mafuta tehe teheh! lol
hallow jamii forums,
As the heading say i am selling harrier model year: 2002. the car is in a very good condition. It have been imported in the country 12 December 2012 and all the duties have been paid. for more contacts call me throw 0716-369299
price : 21,000,000 million . but price is negotiable
View attachment 83776 View attachment 83777 View attachment 83778
hahaha lol haiwezi kunywa maji, mafuta ndo chakula yake. sema kuna za small engine nadhani 2.1cc hazinaga noma izo
We umepungukiwa bei gani nikuongezee kimwana?Asante kwa taarifa. Mie najua hilo jini mahaba linakunywa mengi kumbe kuna za cc ndogo? Mh! bei yake sasa kazi kweli kweli.
hahaha lol haiwezi kunywa maji, mafuta ndo chakula yake. sema kuna za small engine nadhani 2.1cc hazinaga noma izo
mhhh .... 2.1cc ?hakuna hata pikipiki yenye engine capacity hii ... labda ungo
Asante kwa taarifa. Mie najua hilo jini mahaba linakunywa mengi kumbe kuna za cc ndogo? Mh! bei yake sasa kazi kweli kweli.