Wewe unaonekana unajua magari na bei za magari zinavyopangwa. Waambie wakaangalie bei za gari hizo kwenye show rooms! Watashangaa!Jamani sema hatuna pesa hiyo 21ml ni ya kawaida sana kulingana na gari lilivyo...tatizo si huyu mwuzaji bwana freemoney tatizo ni hao TRA ushuru wao kwa gari ili na chaji za bandari zawezafika 7ml...bado kulisafirisha kutoka lilipotoka...na bado hujalinunua ndio maana kwenye showroom zetu ata vigari vidogo kama vitz..ist na raum kwa mwaka 2002 wataanza na12ml...watanzania tulitakiwa kufaidika na bandari yetu ila waho waheshimiwa wanapitisha gari zao bila ushuru...bei yako si mbaya utauza tu