Deus F Mallya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 705
- 442
Salaam.
Gari aina ya Alterzza model 2000, ikiwa imelipiwa ushuru wrote pamoja na namba za usajili inauzwa Tshs. 8.5Million. Imetembea km 70,600 tu. Ina screen tatu pamoja na key vibration security system.
Gari aina ya Toyota Harrier model 2006 imelipiwa ushuru wote pamoja na namba za usajili inauzwa Tshs. 22Million imetembea 35,054 tu.
Pm kwa wale walio serious kununua tu.