mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Hapo ulivyosema Diamond na kiba wanapendwa kwanza wao mziki ndo unafuata hapa nakuunga mkono ila kuhusu ngoma mpya ya kiba nazani imebustiwa na umaarufu wa hamisa mobetto kuliko ngoma yenyewe na kiba mwenyewe ukitaka kujua Hilo hiyo ngoma ndani ya wiki moja itakuwa kaburini.
Hapo ulivyosema Diamond na kiba wanapendwa kwanza wao mziki ndo unafuata hapa nakuunga mkono ila kuhusu ngoma mpya ya kiba nazani imebustiwa na umaarufu wa hamisa mobetto kuliko ngoma yenyewe na kiba mwenyewe ukitaka kujua Hilo hiyo ngoma ndani ya wiki moja itakuwa kaburini.
Wewe team mond kindaki ndaki kweli utamsifia kiba [emoji1787]Hapo ulivyosema Diamond na kiba wanapendwa kwanza wao mziki ndo unafuata hapa nakuunga mkono ila kuhusu ngoma mpya ya kiba nazani imebustiwa na umaarufu wa hamisa mobetto kuliko ngoma yenyewe na kiba mwenyewe ukitaka kujua Hilo hiyo ngoma ndani ya wiki moja itakuwa kaburini.
Bora alikibaHapo ulivyosema Diamond na kiba wanapendwa kwanza wao mziki ndo unafuata hapa nakuunga mkono ila kuhusu ngoma mpya ya kiba nazani imebustiwa na umaarufu wa hamisa mobetto kuliko ngoma yenyewe na kiba mwenyewe ukitaka kujua Hilo hiyo ngoma ndani ya wiki moja itakuwa kaburini.
Hamisa ni mtu mwenye mashabiki wengi lakini mashabiki wake sio wapenzi wa mziki ni Kama ilivyo kwa Zari yaani kiufupi ni socialite ndomaana nikakuambia after one week ngoma hiyo ya kiba itapotea ikisurvive tutaamini Kuna nguvu ya kiba kitu ambacho sitarajii.Ila unapo sema umaarufu wa amisa mobeto ndio umeipush hii nyimbo unasahau kwamba hamisa mobeto nae ni msanii na anatoaga nyimbo kibao why asizibust nyimbo zake mwenyewe aweze ya kiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufikisha views M1 sio kipimo cha kazi nzuri . Wabongo mnakwama wapi kwenye kuchanganua mambo kisomi zaidi?Wewe ndo humuelewi usitusemee wote sawa, alafu naunga mkono hoja ya kuwa alikiba katrend kwa sababu ya kumtumia hamisa mobeto na inajulikana mobeto ni x wa chibu, ndo maana kashindwa hata kufikisha views milioni 1 ndani ya saa 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimpenzi wa mziki mzuri wa msanii yoyote na Mafanikio ya msanii ukijui hii usinge comment hivyo. unaposema simfii kiba utakuwa unapitia nyuzi zinazohusu WCB pekee zingine upitii alafu lazima ujue kutofautisha kwenye hoja yoyote Kati ya fact na ushabiki ukijui hili alitakusumbua.Wewe team mond kindaki ndaki kweli utamsifia kiba [emoji1787]
Kama sio kipimo wewe unapimaje ngoma imefanya vizuri ikiwa hata vigezo vingine ngoma imekosa Kama vile haisikiki mtaani,haina mauzo mazuri,haina tuzo yoyoteKufikisha views M1 sio kipimo cha kazi nzuri . Wabongo mnakwama wapi kwenye kuchanganua mambo kisomi zaidi?
Wimbo wa Kwangaru ulileta tuzo ipi hapo WCB ?Kama sio kipimo wewe unapimaje ngoma imefanya vizuri ikiwa hata vigezo vingine ngoma imekosa Kama vile haisikiki mtaani,haina mauzo mazuri,haina tuzo yoyote
Ila ilikuwa inasikika sana kote nchini na East Africa na wakati huo ndio iliongoza kuwa na mauzo makubwa kuliko ngoma yoyote kwenye East Africa.Wimbo wa Kwangaru ulileta tuzo ipi hapo WCB ?