Nasikia kiba anaogopa kutoa wimbo kwa sasa hivi maana anaogopa anaweza asipokelewe vizuri, seduce me ili hit sababu ya huruma ya mashabiki baada ya domo na timu yake kutoa nao wimbo jioni ile ile aliyotoa kiba.
Kondeboy yupo kikazi zaidi. Nampa konde boy.