Naona imekuwa fashion siku hizi,sijui tunakwepa majukumu au kunavitu vya ziada tunapata ambavyo pengine hao manzi wa rika letu hawana?ngoja wajuzi wa mambo waje watiririke
Wapuuzi hawa..Yani kwenye siku ya kuzaliwa ya katoto cha watu ndo wanafanya upuuzi wao huu..Ningekuwa mimi ningewapopoa na mawe wakamalizie mambo yao ICU