Wakuuu hamjambo ..hope mmeamka salaam.. niende moja kwa moja kwenye mada ...Mmakonde Harmonize mziki wake ni mzuri sana yeye huwa anaimba kinacho eleweka na huwa atumiy sana matusi kama babaake mondi na dogo lake rayvany .. kwakweli dogo ndo anaongoza sasa ..lakin tatizo Lipo pale wasafi dogo wameanza kumbania kiaina ngoma zake wanazichelewesha hadi ana mind ..dogo anajituma sana tena sana kuliko wasani ote pale wasafi dogo sio tena mtoto wakuburuzwa tu wanavyotaka mwenyewe Asha tengeneza mazingira mazuri Nigeria na Ghana na Kenya... wasafi wawe makini wakiendelea kumzinguwa dogo ataondokazake...kama walitengana wale mapacha wa Nigeria itashindikanaje harmo kuondoka wasafi .
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaUzi tayari??
Kunywa chai kwanza ndio uandike vizuri..
'Msani' ndio nini?
Hao psquare unaowachukulia kama reference unaona wako sawa kama walivyokuwa pamoja...ni watu wachache sana waliowahi kutengana wakatusua..
Harmonize yuko kama unavyomuona sababu ya management nzuri ya WCB akitaka tumsahau aondoke pale aende kwenye management nyingine ambayo itakuwa after pesa zake na umaarufu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mkuuu mi mwenyew nawa mind sema tu uongozi wa wcb wanampelekesha vibaya uyu dogoShida yenu muwagombanishe WCB isambaratike mtake advantage mpate vya kuongea.
Ngashtuka mekuuuu
Kaimba mondi sio harmonize acha kuboronga wew ..Hebu ntafsirie huu mstari una maana gani kwenye Kwangwaru "Paka mate niteleze kama nyoka pangoni"
Kwani wew huione bahati yake ? Alipotoka hadi sasa akikupa wew kazi ya kudekia chooo chake utajiona unabahati sanaa ..