OFFICIAL VIDEOHainistui Lyrics – Harmonize
Intro chorus
Yaaweya, Jeshi
Konde Boy
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Kuna wenzako watakuroga , Hainistui
Au nawe ushaoga, Hainistui
Maana hunaga uoga, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Verse One
Eeeh, leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subiri ngoja mungu hajakutosa
Majunga fitina na na
Sigeuze changamoto
Maneno machanina na na
Dawa ya moto ni moto
ooh nana na
Wako waliosema Konde atapotea
Konde atapotea
Jembe katia gear chogo hiyo inapepea
Chogo inapepea
Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie
Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Wenzako wanakuchukia, Hainistui
Tena wamepanga kukubania, Hainistui
Isitoshe wao ni matajiri, Hainistui
Usijali we tumia tu akili, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Verse Two
Sinanga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunua
Tena waambie ee ee
Mchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kazi
Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie
Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Mwana anakula tungi mbaya, Hainistui
Yule dada anadanga malaya, Hainistui
Ataishia pabaya, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Verse Three
Ina ina ina
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
Wakimwona dodo na chopper
Inauma ila itabidi wazoee
Sikuhizi konde gange wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoee
Hamza
Kwako mwalimu kashasha
Credit: Harmonize
ahahahaSijaisikiliza lakini naipa 7/10.. naskia pia kuna ka biti ka kidalipoo ya mr nice
Sidhani kama Mondi atampa hiyo kiki anayoitafuta. Alibahatisha Ali K wengine walie tu.Nasubiria reply track toka kwa bin laden
cha ajabu hata haimshtuiJamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
acha tusubirie mkuuSidhani kama Mondi atampa hiyo kiki anayoitafuta. Alibahatisha Ali K wengine walie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ajajifunzaJamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
ebu nisikilize tena,kumbe kuna copy tena ya beat ama nini?Track ni ya ovyo plus kuiga Melody za wasanii wengine ngojea Mr nice adai hapo haki ya kazi yake ndo patakuwa patamu hapo.
Track ni ya ovyo plus kuiga Melody za wasanii wengine ngojea Mr nice adai hapo haki ya kazi yake ndo patakuwa patamu hapo.
fursa hiyo tayari kwa mr nice kufanya remix na hamoTrack ni ya ovyo plus kuiga Melody za wasanii wengine ngojea Mr nice adai hapo haki ya kazi yake ndo patakuwa patamu hapo.
Kazi nyingine toka kwa hamo, Je unaipa alama ngapi kati ya 10?