HARMONIZE ATOA KIJIMBE INSTAGRAM.

Fumbo Khan

Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
5
Reaction score
9
Msanii Harmonize baada ya kudondosha muziki wake wa USHAMBA amekuwa akiweka post mbali mbali zikiashilia kama kijembe na kujawa na majigambo kuhusu wimbo wake huo hii hapa chini ni miongoni mwa kijembe alicho kirusha huko INSTAGRAM.
 
kwahiyo anamaanisha zile views milioni 3 za domo ni fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…