Inamaana hujaona mafanikio ya wimbo wa Bakhresa ?Kwa sasa hata mziki wake amekuwa hana mpangilio mzuri wa kuachia nyimvo yaani anatoa nyimbo kila wiki or mwezi ilimradi tu ametoa nyimbo yeye twende, mwisho wa siku anaachia kazi mbovu mfano hii juzi aliyotoa anaita bakhresa, kwa sasa amekuwa akishindana na Diamond akiona mwenzie katoa nyimbo na yeye lazima ataingia studio atatunga ugoro wowote tu ilimradi ashindane mwisho wa siku hamna lamaana
Shamra shamra za kuipokea april fools ya mwaka huu ziko katika maandalizi ya kipekee ni tofauti sana na misimu iliyopita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusema kweli, mi naona wewe na yeye wote mngeenda kumuona mtalaam wa saikolojia, kwa maana wote hamueleweki.
Usiku wa jana kijana Harmonize kuna video zilisambaa na picha akionyesha kumsujudia Madam ritha angalia hiyo picha hapo
View attachment 2150605
Chanzo cha kumuabudu mwanadamu mwenzake anasema eti madam rita baada ya kumkataa bongo star search ndio amemfanya afike hapo alipo
Kwa sasa hata mziki wake amekuwa hana mpangilio mzuri wa kuachia nyimvo yaani anatoa nyimbo kila wiki or mwezi ilimradi tu ametoa nyimbo yeye twende, mwisho wa siku anaachia kazi mbovu mfano hii juzi aliyotoa anaita bakhresa, kwa sasa amekuwa akishindana na Diamond akiona mwenzie katoa nyimbo na yeye lazima ataingia studio atatunga ugoro wowote tu ilimradi ashindane mwisho wa siku hamna lamaana
Bwanamdogo anahitaji management nzuri ya kumshauri kuachana na mziki wa majungu anatakiwa atafute wanamziki nnje ya tazania afanye nao colabo mzki uvuke nnje apige hela , akiendekeza miziki ya majungu atashuka na kuwa mwanamziki local wakati alishaanza kupaa kimataifa
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kusema kweli, mi naona wewe na yeye wote mngeenda kumuona mtalaam wa saikolojia, kwa maana wote hamueleweki.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]