Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Hili swala la kurebisha viwango vya mishahara kulingana na elimu ya mtumishi,muda wake wa utumishi n.k,usiishie kwa watumishi wa umms tu,bali uhusishe na wanasiasa pia.
Kwa mfano,haiwezekani prof.alieajiriwa katika Taasisi ya serikali akalipwa mshahara mdogo kuliko mbunge wa darasa la saba au yule mwenye elimu ya kidato cha nne au sitta.
Ndungu zangu, nilishawaambia kuwa,Magufuli anabana zaidi watumishi wa umma kuliko wanasiasa wenzake na kama tukikaa kimya hili jambo watajifanya kama halipo na wala hawalijui na huu upangaji mpya wa viwango vya mishahara utakamilika na kufungwa bila kuhusisha kundi hili la wanasiasa.Tuamke,tupaze sauti.
Eneo lingine la kutazama ni posho za safari(per-diem)Kuna utofauti kubwa isiyio ya lazima ya watu kulipwa perdiem kulingana na elimu au cheo cha mtumishi wakati wote mnasafiri kwenda nchi moja au sehem moja ndani ya nchi.
Tusidanganyike,pamoja na kudhibiti safari hizi,safari hizi bado zitaendelea kuwapo serikalini kama ambavyo Magufuli mwenyewe ameanza kusafiri na tukumbuke hasafiri peke yake bali lazima aongozane na kundi la watumishi wengine wa umma liwe dogo ama kubwa lakini kundi hilo lazima liwepo na lazima walipwe hiyo perdiem.
Hata wabunge wa kamati mbalimbali za Bunge ambao hivi sasa wanaozunga kwenye mashirika na Taasisi za umma nao hivi sasa lazima wanalipwa hizo posho na hatuji viwango vyao ni vya kiasi gani ukilinganisha na viwango vya watumishi wengine wa umma walioko safarini kikazi.
Halima Mdee alipomtaka Magufuli ataje na stahiki zake zingine nje ya mshahara wake hakuwa mjinga bali alijua fika kabisa Raisi, kama ilivyo kwa wabunge, ana malipo mengine mengi ambayo hayafahamika kwa umma na huku ndiko wanasiasa hawa wanakovuna hela nyingi kuliko hata hiyo mishahara yao.
Alichofanikiwa Magufuli ni kuzipunguza tu lakini posho za safari na zingine lazima ziwepo hivyo nazo zipitiwe upya na zifanyiwe harmonization kama wanavyokusudia kufanya kwenye mishahara na harmonization hii iguse na stahiki zote za wanasiasa ili kutenda haki.