Hardware vs spea za pikipiki niinge wapi wakuu?

Hardware vs spea za pikipiki niinge wapi wakuu?

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,442
Reaction score
8,695
Habari wana Jf

Biashara zote zinanivutia Nina mtaji was milion 40 nahitaji kuwekeza kwenye hizi biashara mbili kwa ushauri wenu niingia kwenye biashara ipi

Location ipo Dar nataka kuuza Jumlaa na rejareja
 
Spea za pikipiki sina sababu ila nenda huko

Ila kama ni reja reja inatakiwa uuze haswa.Faida ya yake huwa ni ndogo ndogo na bei zinafahamika.Hii biashara ilikuwa nzuri siku za nyuma ila sasa kuna hivi vibanda ambavyo hawalipi leseni wala mapato
 
Back
Top Bottom