thanx mkuu! ngoja nijaribu hizo software maana hata kuformat inagoma inasema your HD is a read only ca not be formated.angalia unapoweka inaandikaje? NTFS au FAT32? Namaanisha file system yake, kama inaandika RAW hapo jiandae kufanya recovery ya data kwa kutumia software maalumu maana haiwezi kufunguka tena. kuna post humu zina links ambayo unaweza download data recovery software. jaribu ku search
habari zenu wanajanvini! hard disk yangu nikiichomeka kwenye computer inaniambia 'your hard disk need you to format before using it" mara ya mwisho nilliweka kwenye computer ya jamaa yangu kuchukua mafail flani. kimsingi sitaki kuiormat maaana kuna data zangu za muhimu sana, mwenye kufaham jinsi ya kuifungua bila kuformat naomba anisaidie tafadhali.
Ulipo weka kwa mshikaji wako uliondoka na virus waliokula boot sector, but what I know is ukiirudisha kwa mshikaji au ukiifunga kwenye computer nyingine kama slave unaweza kuondoa data zako then uiformat
mi natumia windows 7, afu hii niliyonayo ni external hard disc. inaitwa element ( WD)Unamaanisha external USB Hard disk au ni Hard disk ya SATA au IDE.. Can u tell us ni brand na Model gani . may be we can help to google kujua kama ni tatizo common kwa brand hiyo na nini solution yake ?
Vile vile wengi wata assume unatumia windows na hizi eeros zote ni za windows . Right?
What if ni external Hard disk?
nashkuru sana mkuu! ngoja niisake obuntu. vilevile bado ina waranteeirudishe kwa mshkaji wako..then do safe remove....ikishindikana hivyo tafuta linux version(ubuntu) bootable dvd au cd then ianzishe coputer kwa kutumia hiyo dvd, hapa utaweza kuaccess data zako za kwenye hiyo external yako, copy data zako somwhere then iformat kuanzia hapo....aukama bado external yako ina warrant basi peleka kwa agency watakusaidia.......